Nani analihujumu Taifa? Tusipozinduka sasa...

Historia haiko mbali siku hizi za utumiaji wa technology, nikimaanisha uwepesi wa kupata na kutuma taarifa n.k

Historia inaonyesha ugumu wa waliopata makaburu, wamishionari(wengi walikuwa wazungu wa ulaya) na mabeberu wa Kiarabu ambao wote walifika Africa kufanya biashara.

Historia inaonyesha ugumu waliopata sio kufanya biashara bali ni Lugha, lugha zilikuwa nyingi sana na hivyo kuwafanya wawe na ugumu wa kufikia kule ambako rasilimali zipo.
isitoshe... Udini, ukatili na udhalilishishaji ndio ilikuwa njia pekee ya kutufikia na kutuhadaa kama unavyofanya hapa

Waafrika hawakuwa wamelala kama huyu nye nyere anvotaka tuamini Tulikuwa tumeshazinduka kupindukia Waafrika na hususan Watanzania,

Nye nyere, mengi niliyotaka kusema yameshaguswa

Waganda ni mabeberu wa mda mrefu, Waganda thank Iddi Amin walishazinduka...Kiira ni ya Waganda.

Sera za Ujamaa hapa unaotaka kuaminisha, haukuwa wenye mlengo wa kikomunisti.

Unadai unduminakuwili ukiwa una maana tuchague upande- mmoja kuna siagi au soseji za moscow ukiwa una maana ya kuwa mmoja ni Mkomonisti na mwingine ni Bepari- tuchague upande au tubakie na unduminakuwili ni uwongo na ni propaganda za kibepari.
Hatuna upande.

Tatizo la nishati ni kuwa ulikuwa unahujumiwa. Wewe kama unavyojinadi na ubobezi kwenye ujasusi unalijua hili. Najua hujui.

Serikali ya Awamu ya nne kama ilivyokuwa wa tatu walikuwa na vishinikizo.

Kujengwa kwa bandari bagamoyo ina maana asilimia kubwa za mizigo inatoka na sio kuingia.

Pelekeni propaganda zenu kwenu huko kwenye Demokrasia ya uwongo. Msitulaghai.
 
Na wale waliopaswa kutoa elimu zaidi kwa raia.
Waliopaswa kuipigia CCM kelele kwa madhila wayowaona wao.

Hawafanyi hivyo na badala yake wamebaki kupiga kelele ya Katiba ambayo itawahakikishia usafi wa njia ya kuingia kwenye ulaji kwa zamu.
UNA AKILI NYINGI SANA LAKINI UNA KASORO KUBWA.
 
UNA AKILI NYINGI SANA LAKINI UNA KASORO KUBWA.
Kuingia kwenye ulaji kwa zamu !! Hii sentensi nimeipenda ! Wanasiasa wengi hawapo serious na maendeleo ya nchi na watu wake , target yao ni maendeleo yao na ya walio karibu yao !! Hii ndio shida yetu kubwa tuliyonayo !!
 
Kama taifa kila mtu ana sehemu na nafasi yake, sasa kama mahakimu na majaji wanamwachia mfungwa wa madawa ya kulevya kwenye rufaa kwa vile tu search warrant na procedure hazijafuatwa lakini kidhibiti kakutwa nacho tunategemeav nini?
Tutegemee mateja waturudishe nyuma wataiba vifaa vya magari na nguvu kazi kuishia kwenye kamari huko mbeleni.madhara ni mengi hilo ni moja
 
Aliehujumu tunamjua...la msingi hayupo tena..
Ni kweli bandari ya bagamoyo ni mhimu kwa uchumi wa nchi,lkn si kwa mkataba huo,lkn pia ktk maendeleo ni lazina yawepo maamuzi magumu,ninyi mnaita dikteta,ndio maana nchi zote zilizokuwa maskini na kwa sasa zimechumpa kimaendeleo,ziliongozwa na viongozi mnaowaita madkteta,mfano malaysia,Singapore,China,cuba,Libya Iraq,zoote hizi zimeendelea kwa kasi sana,lkn sie watu kana akina magufuli hatuwataki,kwa sababu wanatudhibiti ktk miradi yetu,kwa watu wanaopenda ten percent,ni vigumu nchi kupiga hatua,yaani uwe na viongozi sampuli ya samia,halafu wasaidizi wake wawe ni kina January makamba,nape nnauye,na ridhiwani kikwete,sahau kitu linaitwa maendeleo,wao falsafa ya ni upigaji, uporaji na kitu kinaitwa cha juu,
 
Jpm hayupo tena,lkn bado unaendeleza mapambano na yeye??!!,chukua mabomu ukapige familia yake yoote uiangamize,na uwachome moto ukoo wake woote uwauwe na majivu uyanywe yoote ili yasionekane,na yeyote atakaemsema vzr jpm piga risasi,unaonyesha wewe unachuki ya nyoka,na unaweza kuwa mtu mwovu sana,,
 
Lazima tuwaele vizazi uhuni wake Ili wajifunze
 
Umeweka uchadema mwingi na itikadi nyingi,toa at least mapendo yako tufanyaje au tuanzie wapi?
 
Naona umeitaja mbaazi hapo, kilichowafanya watu kwenyw mbaazi sijui kama watarudia tena kulima.
 
Naona kama Kwa HOJA za kufichua uovu zimeanzia Kwa mbali natamani Dr.Slaa balozi mstaafu aendelee kumwaga madini aliishia pale alipotoa taarifa ya madawa ya kulevya ikaangukia mikononi mwa Baba!! Mwili umenisisimka naona ugumu wa kutoka hapa tulipokwama.

Hivi si tulikubaliana kwamba ili tutoke hapa tutumie udikteta SASA tulikwama wapi? Any way tunaweza kubadili mbinu tutengeneza Alina DR.Slaa wa kutosha ili wawaambie watu Wetu tulikotoka,tulipo na tunakoelekea.
 
Mtu akiongea kitu kuhusu maendeleo ya nchi watu wanaingizia Uchadema Uccm hatar sana hii tabia sijui itaachwa lini
Jamani Ndugai mbona haionekani? Yaani aliposema tu nchi itapigwa mnada, akapigwa mnada yeye?
 
Miaka 60 ya Uhuru, CCM wanaogopa chaguzi huru na za haki badala yake wanategemea TISS na Polisi kuwaweka madarakani. Sanduku la kura halisi liachwe liongee, tuone watu wanataka viongozi gani.
 
Je ulifanikiwa kuuona mkataba wa bandari ya Bagamoyo? na kipengele gani unadhani hakikuwa sawa!
 
Upinzani wa kweli haupo, upo upinzani wa kimatumbo
Fikria nje ya boksi mbuzimalaya wewe, ukute hata makala halijasoma linakimbilia kuropoka upinzani sijui umefanyaje...!

Siyo kwamba CCM kuna wajinga tu walevu tupo na tunakerwa na huu ujinga...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…