Nani analihujumu Taifa? Tusipozinduka sasa...


umeongea mengi yenye sense LAKINI
-Umeshindwa ku aknowledge ujasusi wa kiuchumi wa awamu iliyopita, ujasusi wa mienendo wa kiutendaji mfano ni kuweza kufungu ujenzi wa mto rufiji ambao tz imepambana miaka 50 bila mafanikio tangu Nyerere
- umeshindwa kuonesha vigezo vya mkataba wa bagamoyo !! mkataba ulikua una miaka 99 na hapo ulikua hautaki bandar zingine zioperate na ukizingatia China inahistoria ya kuzitumbukiza nchi kwene mtego wa madeni

Kama uchambuzi wako ndyo huu mi hata hicho kitabu chako siwezi kisoma!!!… Labda wasioelewa ukweli wa mambo
 

hao wazanzibar walioko nje kinachowazuia kuleta maendeleo sasa n nn
 
Umegusa penyewe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…