muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Nakumbuka hili tukio,alale pema NAZIR MCHOMBA...Keneth Pesambili alimwumiza na kufa Nazir Mchomba aliezikwa kwao Moshono Arusha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka hili tukio,alale pema NAZIR MCHOMBA...Keneth Pesambili alimwumiza na kufa Nazir Mchomba aliezikwa kwao Moshono Arusha.
Watoto wa baba askofu timu ya iringa jina limenitokaKama siyo Tanzania Prisons sijui, nafikiri ilikuwa Mbeya Sokoine kama sijakosea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau hapo juu wamefafanua vema tu kuwa ilikuwa ni mechi kati ya 44 KJ na AFC Arusha iliyochezwa katika uwanja wa Sokoine mwezi Mei, 2001!
Mchezaji wa 44 kJ ya Mbeya Kenneth Pesambili alimwumiza na kufa kipa Nadhir Mchomba wa AFC ARUSHA