Nani anamdai Marehemu Lemutuz?

Kuna wajinga waliomjulia Instagram wanamuona Le Mutuz kama alikuwa mjinga, hao hatuwalaumu lkn deep down wakongwe wote wanajua msela AKILI alikuwa nazo na alikuwa anauwezo wa kujenga hoja kivyovyote vile japo MAISHA na MATATIZO hasa familia yake na familia ya dingi yake vilimchanganya mpaka kujichetua akili.
 
hawatoelewa, bora kaongea hapo hadharani
 
Hiyo ndiyo The American spirit aliyokuwa anainadi Marehemu.

Labda kama Pinto alikuwa anadanganya!

BTW: Gari za kuazimwa tu unaliandika na maneno kibao halafu kaacha kesi ya kutapeli RR pale Kisutu labda kama ilifutwa.
 
HAPANA ila hakukua na haja ya kusema suala la nyumba na gari kamuazima mbele ya umati ni kumdhalilisha marehemu laiti angekuwa ni ndugu yako ungeelewa hili.
Mtu anaongelea Haso alizopitia marehemu, na ni wazi malecela alikuwa hamjali mwanae wa kwanza... Umesahau JPM alivyoweka wazi mbele ya msiba wa masaburi kwamba anafaham marehemu anawatoto wengi zaidi ya hao waliotajwa. Haipo sehem alipomdai marehemu chochote. Just narration.. sasa ndg mnapagawa..


Ila angesema marehemu amenipangishia sehemu fulani na alinipa gari Lake nitumie asante Kwa moyo nzuri wa marehemu... Hpo mngefurahii etieee
 
Pinto akili kubwaz
 
Hakuna msala wowote, kama hawana kitu hiyo imeisha. Mali za marehemu kama zipo ndo zitalipa deni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…