Nani Anamiliki Akaunti Ya Tanzania Leaks?

Nani Anamiliki Akaunti Ya Tanzania Leaks?

Elias K

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2021
Posts
213
Reaction score
607
Wakuu kuna Akaunti inavuma Sana kule X(Twitter) na inavujisha Siri npzito nzito za wanasiasa. Hata mjadala wa sakata la bandari kwa mara ya kwanza ulianzia kwenye hiyo akaunti. Nadhani ni mbadala wa Kigogo wa awamu ya tano. Mmililiki anaonekana ni mtu mzito ndani ya serikali, ambaye hakubaliani na serikali.

Unadhani ni nani mmililiki wa hiyo akaunti?

Karibuni.
 
Mmiliki wake anaitwa Elias K
IMG_20230807_195144.jpg
 
Kuna leaks ngapi zilitoka huko na zikawa authenticated (apart from hii uliyotaja ofcourse) isijekuwa hata leakage yenyewe sio ya kivile....
 
Back
Top Bottom