Wakuu kuna Akaunti inavuma Sana kule X(Twitter) na inavujisha Siri npzito nzito za wanasiasa. Hata mjadala wa sakata la bandari kwa mara ya kwanza ulianzia kwenye hiyo akaunti. Nadhani ni mbadala wa Kigogo wa awamu ya tano. Mmililiki anaonekana ni mtu mzito ndani ya serikali, ambaye hakubaliani na serikali.
Unadhani ni nani mmililiki wa hiyo akaunti?
Karibuni.