Nani anamiliki fedha nyingi kati ya serikali na wananchi wake

Nani anamiliki fedha nyingi kati ya serikali na wananchi wake

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Kwa mfano paah kila mtu atoe hela zake bank azishike halafu tupige hesabu kati ya hela za raia na zile zilizo bank kuu za serikali zipi ni nyingi zaidi?
 
Unafikiri ukiweka hela zako Bank,wao hua wanaziweka tu kwenye kabati ili kukusubiri wewe siku ukienda kuzitoa?

Kwanza Bank haiwezi kua na Cash za kuwapa wateja wake wote hela zao kwa wakati mmoja.
 
Ukitaka vita na serikali pamoja na wamiliki wa mabenki eneza propaganda ya kuwafanya watu wote wakatoe fedha zao benki🤣
 
Back
Top Bottom