ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Imenifikirisha sana hiiUnafikiri ukiweka hela zako Bank,wao hua wanaziweka tu kwenye kabati ili kukusubiri wewe siku ukienda kuzitoa?
Kwanza Bank haiwezi kua na Cash za kuwapa wateja wake wote hela zao kwa wakati mmoja.
Ndio ukweli wenyewe .. kiuhalisia benki haina pesa ya ku feed demand hujawahi kujiuliza why benki wanakubembeleza ufungue akaunti na uwekeze wakishakuona una pesa,?Imenifikirisha sana hii