Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hii andio TV pekee iliyobaki na ujasiri wa kurusha matangazo ya Vyama vyote enzi za Magu.TV hii inafanya vizuri sana , naomba nimpongeze mmiliki na ningefurahi kumfahamu..
Kabla ya hapo kulikuwa na Dar 24 tv Mkurugenzi wake alishughulikiwa sana