Nani anamiliki Jambo TV online?

TV hii inafanya vizuri sana , naomba nimpongeze mmiliki na ningefurahi kumfahamu..
Hii andio TV pekee iliyobaki na ujasiri wa kurusha matangazo ya Vyama vyote enzi za Magu.

Kabla ya hapo kulikuwa na Dar 24 tv Mkurugenzi wake alishughulikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…