Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye kuwahi itumia Toyota fielder namuomba inbox plsss cc 1500,,Ubarikiwe
Unataka kununua au unataka ushauri
Kuna rafiki yangu anayo ya mwaka 2008, m naona ipo vizur tu, japo inahitaji utunzaji zaid wa body, maana hii bodi yake sio ngumu kama zile za kuanzia 2001.Mwenye kuwahi itumia Toyota fielder namuomba inbox plsss cc 1500,,Ubarikiwe
Kuna rafiki yangu anayo ya mwaka 2008, m naona ipo vizur tu, japo inahitaji utunzaji zaid wa body, maana hii bodi yake sio ngumu kama zile za kuanzia 2001...
Sawa,,any ABC???hizi gari ni chache sana
Pamoja KakaNgoja waje kukupa muongozo...
Ukipandisha kidogo haina shida, pia kwenye swala la mafuta 15 kama ni mwendeshaji mzuri. Pia inazid hyo 15 kma upo high way.Barikiwa kaka Rasul,,how if nikioandisha juu inchi Moja hivi?? Hope itapanda kiasi,,Mafuta ukimuuliza Jamaa unaweza fika km 15 hivi?? So far naomba nikupigie
Hii ni bonge la gariMwenye kuwahi itumia Toyota fielder namuomba inbox plsss cc 1500.
Ubarikiwe
Nimenunua ,,tamu saaana highway 17Km ,,,gari nzuri mmmmno Nina mwaka sijawahi badili chochote kwenye gari kaaabisaUkipandisha kidogo haina shida, pia kwenye swala la mafuta 15 kama ni mwendeshaji mzuri. Pia inazid hyo 15 kma upo high way.
Yote kwa yote gari ni nzur sana.
Toyota fielder 2007
Ilighalimu ngapi mpaka bongo? Namaanisha cig yake na ushuruNimenunua ,,tamu saaana highway 17Km ,,,gari nzuri mmmmno Nina mwaka sijawahi badili chochote kwenye gari kaaabisa
Achana na Gari za kishamba gari ndefu haina hata mvuto yan hata ukipak sehem wafu hawashtuki.Mwenye kuwahi itumia Toyota fielder namuomba inbox plsss cc 1500.
Ubarikiwe
Wafu hawashtuki dah[emoji23][emoji23]Achana na Gari za kishamba gari ndefu haina hata mvuto yan hata ukipak sehem wafu hawashtuki.
Naona fielder haina tifaut na Probox kazi kubeba mizigo tuh kwasababu ya ule Mbut mkubwa.
Pls nunua gar ambayi hata ukikwama ukiuza unapata ela nzur nasiyo kuteseka kumtafuta mtej.
Jiran yanvu anayo fielder huu mwaka wa pili imepostiwa Social media mbal mbal ila haijanunuliwa mpk leo licha ya bei kuwa 4.5 M na ni namba C
Ungemshauri ni gari gani unayohisi inauzwa kirahisi kuliko fielder second generation.....sio kila mtu hapendi gari ndefu.Achana na Gari za kishamba gari ndefu haina hata mvuto yan hata ukipak sehem wafu hawashtuki.
Naona fielder haina tifaut na Probox kazi kubeba mizigo tuh kwasababu ya ule Mbut mkubwa.
Pls nunua gar ambayi hata ukikwama ukiuza unapata ela nzur nasiyo kuteseka kumtafuta mtej.
Jiran yanvu anayo fielder huu mwaka wa pili imepostiwa Social media mbal mbal ila haijanunuliwa mpk leo licha ya bei kuwa 4.5 M na ni namba C