Kesho asubuhi nitakupa namba ya mbobezi wa gearbox za Nissan
Si utani mkuu,namba yake sina nacheki kwenye simu siioni. Kesho asubuhi nitakuombea ni mtu mzima anafanya kazi vizuri sana.Usifanye utani!
Si utani mkuu,namba yake sina nacheki kwenye simu siioni. Kesho asubuhi nitakuombea ni mtu mzima anafanya kazi vizuri sana.
Kwanza atafungua na kukagua meno ndio aendelee kuifunga.
Fundi Nissan Gearbox 0715 033 045Anaweza kuja kunifungia nyumbani kwangu? mtu mzima ndio ninaemuhitaji hawa vijana wa siku hizi tamaa sana halafu wezi!!