Nani anamjua huyu msichana?

Watapata shida sana, Chura ndio njie nyepesi ya kupata Umaarufu kwa wadada.

Mie nakataa, huyo umemwona hana chura na ni maarufu sana

Wanawake wengi wakorea hawana chura na wana umaarufu sana

Mamiss world toka 1990 hawana chura, hebu katafute uone
 
Mie nakataa, huyo umemwona hana chura na ni maarufu sana

Wanawake wengi wakorea hawana chura na wana umaarufu sana

Mamiss world toka 1990 hawana chura, hebu katafute uone

Mimi sina mwanamke wa korea ninaemjua.

Hao wakorea na mamis wamepta huo umaarifu kwa njia zao au shuhuli zao wanazozifanya. Ila ukiwa na chura tu tayari nayo ni njia tosha ya umaarufu.
 
Mimi sina mwanamke wa korea ninaemjua.

Hao wakorea na mamis wamepta huo umaarifu kwa njia zao au shuhuli zao wanazozifanya. Ila ukiwa na chura tu tayari nayo ni njia tosha ya umaarufu.

Hahaah unapenda sana chura aisee unavyoitetea ivyo si mchezo
 
Unamuulizia dame wangu wa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…