Nani anamjua huyu msichana?

Nani anamjua huyu msichana?

Watapata shida sana, Chura ndio njie nyepesi ya kupata Umaarufu kwa wadada.

Mie nakataa, huyo umemwona hana chura na ni maarufu sana

Wanawake wengi wakorea hawana chura na wana umaarufu sana

Mamiss world toka 1990 hawana chura, hebu katafute uone
 
Mimi sina mwanamke wa korea ninaemjua.

Hao wakorea na mamis wamepta huo umaarifu kwa njia zao au shuhuli zao wanazozifanya. Ila ukiwa na chura tu tayari nayo ni njia tosha ya umaarufu.
 
Hahaah unapenda sana chura aisee unavyoitetea ivyo si mchezo
 
"Kula uliwe"tatizo liko wapi!? Wakati uleule unamtumia na yeye ndio anakutumia, akitoka hana chake tena. Vuta mwingine.
Huyu dada Facebook anatumia majina tofauti kama Dayna Faby Kindole or Mwanaid Agripina na kuna account zaidi ya kumi zenye picha zake. .

I think she might be a musician, an actress or just someone famous. I am very interested just to know who she is nothing more, anyone who knows do tell. .

Nawaza tu: Unaweza jikuta mchawi bila kupenda, ukashangaa tu umekuwa mchawi unakula nyama za watu mchana wenzako wakikukaribisha "njoo tule nyama ya mbuzi", unasema "ohh mie silagi nyama za mbuzi zina kishombo" kumbe umeshiba nyama za watu. .

Ushauri tu: Kuliko kutafuta demu mzuriiii bora ujipatie KIBONGE, kwenye jokofu nyumbani unaweka mapocho pocho manyama majuisi na makachumbareeee yani huwazi anakusaliti wala nini. Sasa sana akikusaliti kala mapaja ya kuku yote uliowajaza kwenye jokofu. .

UPDATES:
Kwa upendo kabisa nimepata contact zake, anayetaka kuzungumza nae amcheki tu kwa hii link (nimemgoogle) Contact Kira – Kirachaana

Kuna mdau kanijibu kuwa anaitwa KIRACHAANA Huyu ni nani? Nawashukuru wadau walionijulisha nilitaka kumfahamu tu..
View attachment 1362175View attachment 1362176View attachment 1362177View attachment 1362178View attachment 1362179
 
Jamani, mumlani Shetani msijemkachaniana nguo hapa!!
Nakwambia tena wewe huo ni wivu, nyie ndo wale wale mnaosema sura hata mbuzi anayo. Laiti sura ya mbuzi ingekuwa inaonekana kwa dume linalopanda mbuzi jike juu kama sie binadamu kwenye misionary nakuhakikishia mjomba asingelia meeeeeeeeeeeeee, acha hizo bhana hahah

Wewe utakuwa una tako ila sura ya baba kwa kweli....
 
Huyu dada Facebook anatumia majina tofauti kama Dayna Faby Kindole or Mwanaid Agripina na kuna account zaidi ya kumi zenye picha zake. .

I think she might be a musician, an actress or just someone famous. I am very interested just to know who she is nothing more, anyone who knows do tell. .

Nawaza tu: Unaweza jikuta mchawi bila kupenda, ukashangaa tu umekuwa mchawi unakula nyama za watu mchana wenzako wakikukaribisha "njoo tule nyama ya mbuzi", unasema "ohh mie silagi nyama za mbuzi zina kishombo" kumbe umeshiba nyama za watu. .

Ushauri tu: Kuliko kutafuta demu mzuriiii bora ujipatie KIBONGE, kwenye jokofu nyumbani unaweka mapocho pocho manyama majuisi na makachumbareeee yani huwazi anakusaliti wala nini. Sasa sana akikusaliti kala mapaja ya kuku yote uliowajaza kwenye jokofu. .

UPDATES:
Kwa upendo kabisa nimepata contact zake, anayetaka kuzungumza nae amcheki tu kwa hii link (nimemgoogle) Contact Kira – Kirachaana

Kuna mdau kanijibu kuwa anaitwa KIRACHAANA Huyu ni nani? Nawashukuru wadau walionijulisha nilitaka kumfahamu tu..
View attachment 1362175View attachment 1362176View attachment 1362177View attachment 1362178View attachment 1362179
Unamuulizia dame wangu wa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom