Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Huyu dada Facebook anatumia majina tofauti kama Dayna Faby Kindole or Mwanaid Agripina na kuna account zaidi ya kumi zenye picha zake. .
I think she might be a musician, an actress or just someone famous. I am very interested just to know who she is nothing more, anyone who knows do tell. .
Nawaza tu: Unaweza jikuta mchawi bila kupenda, ukashangaa tu umekuwa mchawi unakula nyama za watu mchana wenzako wakikukaribisha "njoo tule nyama ya mbuzi", unasema "ohh mie silagi nyama za mbuzi zina kishombo" kumbe umeshiba nyama za watu. .
Ushauri tu: Kuliko kutafuta demu mzuriiii bora ujipatie KIBONGE, kwenye jokofu nyumbani unaweka mapocho pocho manyama majuisi na makachumbareeee yani huwazi anakusaliti wala nini. Sasa sana akikusaliti kala mapaja ya kuku yote uliowajaza kwenye jokofu. .
UPDATES:
Kwa upendo kabisa nimepata contact zake, anayetaka kuzungumza nae amcheki tu kwa hii link (nimemgoogle) Contact Kira – Kirachaana
Kuna mdau kanijibu kuwa anaitwa KIRACHAANA Huyu ni nani? Nawashukuru wadau walionijulisha nilitaka kumfahamu tu..