chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Jan 17, 2023 #1 Fido dido mara ya kwanza kutambulishwa ilikuwa mwaka 1985. mchoraji wa Fido Dido anaitwa Joanna Ferrone; Sue Rose. Miaka 90 fido dido tume muona sana kwenye matangazo ya 7up
Fido dido mara ya kwanza kutambulishwa ilikuwa mwaka 1985. mchoraji wa Fido Dido anaitwa Joanna Ferrone; Sue Rose. Miaka 90 fido dido tume muona sana kwenye matangazo ya 7up
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Jan 17, 2023 #2 Mimi namkumbuka japo nimezaliwa 2005
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Jan 17, 2023 #3 Kuna kikatuni fulani kinaitwa Tin tin mnakikumbuka?
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Jan 17, 2023 Thread starter #4 The Icebreaker said: Kuna kikatuni fulani kinaitwa Tin tin mnakikumbuka? Click to expand... Tin tin alikuwa mtu wa vibonzo na habari kwenye vitabu.alipendwa swana utunzi wake
The Icebreaker said: Kuna kikatuni fulani kinaitwa Tin tin mnakikumbuka? Click to expand... Tin tin alikuwa mtu wa vibonzo na habari kwenye vitabu.alipendwa swana utunzi wake