Nani anamla nani kwenye sex? πŸ˜‹

Uje tufanye hako kaigizo tuone nani anamla mwenzake
 
Mkuu, ukikosa hoja unaanza kutaja majina? Tulia, hapa ni JF, si mashindano ya nani ana kelele nyingi. πŸ˜‚
Umejuaje kwamba hilo ni jina na ni jina la nani ? πŸ˜‚

Nashangaa umejibu hivyo wakati Mimi nimejiandikia kusogeza Uzi mbele na wala sijaandika hoja yeyote na kuComment Chochote kuhusu mada ya Uzi .

Au kwenye hiyo comment Kuna code umeDecipher ?kama ndiyo basi funguka tupate kuelewa kwa Faida ya members
 
Mkuu, usitafute code kwenye kila kitu. πŸ˜‚ Nimejibu ulichoandika, si kwamba nina taarifa za mwenye jina hilo. Kama ulikuwa unasogeza uzi mbele, basi nimekusaidia kuupa mwendo. Hakuna siri yoyote hapo.
 
Hilo jina nimeliweka makusudi kama Code mpango mission yangu completed βœ… , namna ulivyo react baada ya kuona hilo jina Kuna ideas nimepata .

Bado mtu mmoja tu , nataka KumChallenge nimReply kwa hilo jina na yeye jinsi atakavyo react hapo nitafunga hesabu ya research yangu .

Asante kwa kushiriki nami vyema mkuu
 
Sawa mkuu, nimekupata. Ila kumbuka, watu kuitikia tofauti hakumaanishi wote wamekuelewa vibaya; kila mtu ana namna yake ya kutafsiri mambo. Kila la heri kwenye research yako, ukimaliza tupe mrejesho tujue ulikuwa unatafuta nini hasa. πŸ˜‚πŸ€
 
Asante kwa busara zako .

Siwezi kutoa mrejesho kwani ni mission ya kiusalama inahusisha Top Secrets , majibu ya research nitabaki nayo mwenyewe πŸ˜‚ 🀝
 
Kuna nini tena wewe jasusiπŸ˜…
 
Asante kwa busara zako .

Siwezi kutoa mrejesho kwani ni mission ya kiusalama inahusisha Top Secrets , majibu ya research nitabaki nayo mwenyewe πŸ˜‚ 🀝
πŸ˜‚ Sawa mkuu, nimeheshimu usiri wa mission yako. Ila kumbuka, hata majibu yakibaki Top Secret, matokeo ndiyo yatakayothibitisha kama research imefanikiwa. Kila la heri kwenye mission 🀝😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…