Nani anamla nani kwenye sex? πŸ˜‹

Mwenye mdomo si mwanamke?
 
Ngono Kwa wanaume mara nyingi huchukuliwa kama ushindi au mafanikio (achievement).

Kusema nimemla kunampa mwanaume hisia za kiume (ego boost) mbele ya washikaji zake, ikionyesha kwamba ana uwezo wa kutongoza na kufanikiwa.

Neno "Tumekulana" linapunguza ile hisia ya yeye kuwa mshindi kwa sababu inaonyesha pande zote mbili zilikuwa na nguvu sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…