Nani anamla nani kwenye sex? 😋

Ni utamaduni na mgawanyo wa majukumu aliouweka Mola ndio unaoamua nani anamla mwenzie,lakini ukweli tunakulana wote
 
Tunakulana jmn
Mambo yasiwe mengi sn🤣
Unanikumbusha mwanamama mmoja tuliwahi kuwa wapenzi, akiwa na nyeggge ananitafuta, ananiuliza mbalizi 1 uko poa? Namjibu Niko poa, anauliza uko wapi? Namuambia nilipo........ananiambia fanya hima tukutane tukatiane nna nyeggge nyiiingiiiiiii zinahitaji hiyo em bii oo yako
 
Sawa nimekubali haya ndio upite unasema ni memla fulani
Huo sio ushamba?
Sa nyingine hujalala nae wala nini
Ni ushamba uliojificha kwenye hali ya asili ya majivuno kwa hali ya kawaida kiubinadamu. Ile hali ya mtu akifanya jambo fulani ambalo kwake anaona ni la kitofauti kwake anataka na wengine wajue nini alifanya. Ndo utaona kijana anatamba kama hivyo.

Nini imetokea mpaka unapigania haka ka mada kwa hisia fulani hivi?

Unahisi mwanamke anaweza kufanya hivyo pia?
 
Hapo ulikua bado hujaoa we mzee au ulikua una m cheat mkeo?
 
Oooh basi sawa

Hakuna kitu kimetokea ila naona wanaume hupenda kusema hivyo mara nyingi sasa hua najiuliza si ni ulimbukeni huo

Wanawake ni watu ambao tupo na akili nyingi kwanza hilo ukubali sawa?
So ni nadra mwanamke kufanya hivyo

Nyie kinachowatesa ni sifa ulimbukeni
Na kukurupuka si unaona hata mauwaji nyie ndio vinara
 
Haha umeenda mbali sana. Nina uhakika kinachowafanya wanawake wanamute ni ile aibu ya kugundulika fulani na fulani alimdo,,,, kawaida mwanamke anataka uichape kimyakimya sio kumtangaza kwa sababu kumtangaza kwake anaona kama unamdharirisha, na mwanaume anataka aonekane bingwa kwa vijana wenzake wa hovyo
 
Suala la huruka hiyo ni other heavy topic.... Reactions za wanaume inakuwa ni kujibu emotional tortures ambazo wamepitia consistently. Wanawake pia wanaexperience emotional instabilities and pains...

Suala la emotional vs cognitive decision making ni kwa kila mtu regardless of gender/sex
 
Sidhani wanaotangaza ni malimbukeni bana watu wenye busara wanaichapa kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…