Nani anamla nani kwenye sex? πŸ˜‹

Mzee mwenzangu Grahams, najua hayakuhusu lakini baada ya kutokea nikakumbuka huu uzi.

Sasa bwana, leo tumeamka mapema kama kawaida tunajiandaa kwenda kazini . Ila Wife ni kama alikuwa na vinyege nyege nikamchunia maana kiukweli sikuwa na nguvu ya kufanya hicho kitu asubuhi ya leo. Kama saa 6:15am tukawa tayari tumemaliza kujiandaa, tukaingia ndani ya gari tuondoke sasa.

Nikawasha gari, nikawa nasubiri engine ichemke kidogo, wife si akanivuta tai yangu,nikashtuka, ila moyoni najua kwanini. Akaniuliza kwanini unanifanyia hivi? , nikamdanganya danganya hapo, ila hakunielewa. Aisee kilichofata pale siwezi kusimulia ila kwa ufupi ni kwamba nimeliwa tena haswaa.

Yangu ni hayo kwa sasa muwe na siku njema
Cc: ShesRise_1
#kuliwanamkeosiokosa
 
Siku nyingine inabidi unyongwe na hiyo tai mpaka ufe, unaachaje kumkojo mkeo?
#kuliwanamkeosiokosa
Enewei; Kuliwa na mkeo siyo kosa πŸ’― πŸ’― tuishi humo,
 
Siku nyingine inabidi unyongwe na hiyo tai mpaka ufe, unaachaje kumkojo mkeo?

Enewei; Kuliwa na mkeo siyo kosa πŸ’― πŸ’― tuishi humo,
Tutoke hapa , raia wasijesema tunanyegeshana kwenye bundle zao za 2100/=
Ahsante kwa kunikula BTW πŸ˜‹πŸ˜.
#kuliwanamkeosiokosa
 
Hongera kuliwa kimasihara na mkeo

Siku nyingine kama hakuna sababu za msingi, hakikisha unampa mkeo morning glory kila siku

Ngoja tumuite Binti wa zamani aje atoe somo kuhusu faida za morning glory kwa wanandoa

Japo sisi Wazee hatutaliinjoi sana hilo somo kutokana na umri
 
Siku ya kwanza nilijua huu Uzi Title yake inasema Nani anamla Samia kwenye sex 😁
 
Omg wonderful 😍
Cc: ShesRise_1
#kuliwanamkeosiokosa
Kulombana sio anasa πŸ˜‹
 
Mzee mzee kwendraaa πŸ˜…
 
Latent chaos mkuu leo weekend hali ipo je huko😊
Kwakweli hali sio mbaya sana tunamshukuru Mungu uzima upo. Huko kwenu vipi!?.

Naomba niende nje ya mada nipate recovery kwanza huyu mwanamke kuna jambo amedhamiria na bado sijajua ni jambo gani. Hatua tuliyopo mkituona kwenye runinga mtapigwa na butwaa huyo mwananke anakula kama hali tena. Wacha nitulie ataleta mrejesho mwenyewe πŸ™Œ
 
Eeeeeh kumbe mke mwenyewe ni huyo binti 🀣🀣 huyo noma take care asije akakufuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…