Sema sasa inakuwa complicated sababu sisi ndo tuna dominate mchezo mara vikofi vya hapa na pale, mara mwanamke aililie LAKINI ingekuwa kinyume na hapo basi moja kwa moja hakuna ubishi.Si ndio kinachomezwa kimeliwa
Dah yeye katega tu we una ride like bicycleAtakua tu kalala anasema yes baby, naride muda wote......namla bro πΉ
Biriani kama Biriani amanene π€!!!Naja kukukula kama biriani la ijumaa...
Kuomba hela ya kusuka nini babu hata mimi babe wangu naweza kumbless pesaNani baada ya tendo anaombwa nauli na hela ya kusukia?
Anayeomba anakuwa kaliwa
Anayeombwa anakuwa amekula
NB: Sipendi kutumia neno kukulana, naona kama uhuni.
Sisi Wazee wa mwaka 47 tunapenda kuita "Love making"
Yule fulani nimezaa naeNa kwenye kuzaa utasema tumezalishana !?
π jiandae kuliwa, nakuja kukula...Biriani kama Biriani amanene π€!!!
Nasubiri kwahamuπ
Bora umenisaidia anasahau kama kuna muda analaza mgongo chini na kukaliwa juuMwenye uwezo wa kuzaa ni mwanamke . Sasa hapo hoja yako sijui ililenga nini mkuu kauli ya kutendana maana yake kila upande unaweza kufanya kilichofanika mfabo mapenzi mnaweza kufanya mapenz kwa pamoja yani mwanamke ana uwezo wa kusema amefanya ngono na wewe na wewe una uwezo wa kusema umefanya ngono nayeye lakini wewe umetoa mfano tofauti na alicholeta mtoto mada.
Jipige kifua π€£Nimemkula ShesRise_1
Baasiii kwishaSio unamla unamwezwa kwenye shimoπΉnyie mnaliwa
NomaMnaliwa wakuu...
Mko wangapi mnaowapa hela wapenzi wenu wa Kiume?Kuomba hela ya kusuka nini babu hata mimi babe wangu naweza kumbless pesa
Mbona mpenzi wangu nampaga hela na yeye nanipa tunapeana
Hakuna uhuni kusema mmekulana usikuze mambo
Kuna uhuni unaozidi kuvua nguo nakuingiza kiungo chako kwenye kiungo cha mwenzako
Baasiiii tunakubalina wanaume wanaliwa π«£Kwa kuwa sex inahusisha uume kuingia ukeni au mdomoni basi ni obvious mwanamme ndie anaeliwa. Same na chakula kinavoingia mdomoni tunasema chakula kimeliwa na mdomo sio mdomo umeliwa na chakula
Igweeeeeπ€£Wale mademu wa Brick & Lace walipokuja Tanzania inasemekana waliwala sana washkaji hapa nchini.
Mwenye control ndiye mlaji.
Jinsia achana nayo karibu kwenye madaTutajie jinsia yako na umri wako kwanza, then tuendelee.
Mahondaw chukua mtu wakoπββοΈ π€£π€£Chakula kinapokua kwenye sahani, hua kinaliwa lakini hakikuli wewe...
Ndiyo maana harufu nzuri ya chakula hutokea kwenye sahani(u.kee) na siyo kwenye kijiko(U.mee)...
Mwanamke anakua ameliwa, sababu kijiko(U.mee) kinakuingia(Uk.eni) kupakua yaliyomo...
Ndiyo, mwanamke hutenga, mwanaume hupakua, mengine yote ni mbwembwe...
Weka video kwa faida ya members...
Cc: Mahondaw
Bana mnaliwa kwani si hata nyie mnaliaga ?Sema sasa inakuwa complicated sababu sisi ndo tuna dominate mchezo mara vikofi vya hapa na pale, mara mwanamke aililie LAKINI ingekuwa kinyume na hapo basi moja kwa moja hakuna ubishi.
π€£π€£π€Demu analiwa mixer makofi ya matako! Hilo nalo la kujadili?
Sijui tupo wa ngap labda nimebaki mimi tuMko wangapi mnaowapa hela wapenzi wenu wa Kiume?
Kukulana linafaa kutumiwa na vijana hasa
Haifai mtu mzima wa umri wangu kuongea Lugha ya vijana
"Let's meet and make love beautiful" umeona inavyosound vizuri mjukuu
Mwanaume kulia ni fedheha. Huwa tunaungurumaBana mnaliwa kwani si hata nyie mnaliaga ?
Sema ukweli