Nani anampa hii jeuri huyu kocha mrundi wa simba?

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
Hii kauli yake ya juzi ya kusema atafutiwe msaidizi haraka ina maana gani?
wazee wa ten percent mshakubaliana awakatie kiasi cha hela kwenye mshahara wake kila mwezi?
alivyokuja si alisema begi lake hajafunga? mpeni team hata matola,amri saidi au julio,mnazengua tu na ma deals yenu ya ajabuajabu mnayopiga kwenye usajili na kuchukua cha juu kwenye mishahara kila mwezi
Eti atafutiwe msaidizi haraka,mshampa ukocha mkuu nini? kamzidi nini mayanja huyo zaidi ya kuwapanga kichuya na gyan kama mabeki?
 
ZE NDINDI POLE SANA UKIFIKIRIA SANA YA VIONGOZI WA SIMBA UTACHANGANYIKIWA. MPAKA HUWA NAJIULIZA HIVI VIONGOZI SHUPAVU NA WANAOJUA MPIRA AINA YA AKINA KADUGUDA SIKU HIZI WAMEISHA. MTAALAM MAYANJA ALIKUWA NA SIMBA ISIYOKUWA NA MAJINA LAKINI TIMU ILIFANYA VIZURI SANA. TIMU ILIKUWA NA PUMZI, STAMINA NA NIDHAMU ILIKUWEPO. SASA SIJUI WANAONA AIBU KUMUONDOA HUYO DJUMA NA KUMRUDISHA MAYANJA. ILA MECHI ZA LIGI ZITAWAUMBUA KWANI HUO MFUMO WA DJUMA WA 3-5-2 INATAKIWA TIMU IUFANYIE SANA MAZOEZI KWENYE PRE SEASON NA UWE NA WACHEZAJI VIJANA WENYE MAPAFU YA MBWA AMBAO HAWAPO SIMBA KWA SASA. SIMBA IMEJAA MAFATHER KWA SASA ANGESUBIRI MWAKANI WAKATI WA USAJILI ASAJILI VIJANA WATAKAO FITI MFUMO WAKE. KAMA VIONGOZI WANAONA AIBU KUMRUDISHA MTAALAM MAYANJA BASI WAWACHUKUE MATOLA NA JULIO KUOKOA JAHAZI MPAKA ILIGI IISHE VINGINEVYO AIBU NITAKAYOWAKUMBA KWA KUMKUMBATIA DJUMA ITAKUWA KUBWA MUDA SI MREFU.
 
kuweni na subira wakuu, hata bado hamjafungwa na kupokonywa namba moja pale vpl mshaanza kuweweseka
 
ZE NDINDI POLE SANA UKIFIKIRIA SANA YA VIONGOZI WA SIMBA UTACHANGANYIKIWA. MPAKA HUWA NAJIULIZA HIVI VIONGOZI SHUPAVU NA WANAOJUA MPIRA AINA YA AKINA KADUGUDA SIKU HIZI WAMEISHA. MTAALAM MAYANJA ALIKUWA NA SIMBA ISIYOKUWA NA MAJINA LAKINI TIMU ILIFANYA VIZURI SANA. TIMU ILIKUWA NA PUMZI, STAMINA NA NIDHAMU ILIKUWEPO. SASA SIJUI WANAONA AIBU KUMUONDOA HUYO DJUMA NA KUMRUDISHA MAYANJA. ILA MECHI ZA LIGI ZITAWAUMBUA KWANI HUO MFUMO WA DJUMA WA 3-5-2 INATAKIWA TIMU IUFANYIE SANA MAZOEZI KWENYE PRE SEASON NA UWE NA WACHEZAJI VIJANA WENYE MAPAFU YA MBWA AMBAO HAWAPO SIMBA KWA SASA. SIMBA IMEJAA MAFATHER KWA SASA ANGESUBIRI MWAKANI WAKATI WA USAJILI ASAJILI VIJANA WATAKAO FITI MFUMO WAKE. KAMA VIONGOZI WANAONA AIBU KUMRUDISHA MTAALAM MAYANJA BASI WAWACHUKUE MATOLA NA JULIO KUOKOA JAHAZI MPAKA ILIGI IISHE VINGINEVYO AIBU NITAKAYOWAKUMBA KWA KUMKUMBATIA DJUMA ITAKUWA KUBWA MUDA SI MREFU.
Mwandiko mbaya
 
Hii kauli yake ya juzi ya kusema atafutiwe msaidizi haraka ina maana gani?
wazee wa ten percent mshakubaliana awakatie kiasi cha hela kwenye mshahara wake kila mwezi?
alivyokuja si alisema begi lake hajafunga? mpeni team hata matola,amri saidi au julio,mnazengua tu na ma deals yenu ya ajabuajabu mnayopiga kwenye usajili na kuchukua cha juu kwenye mishahara kila mwezi
Eti atafutiwe msaidizi haraka,mshampa ukocha mkuu nini? kamzidi nini mayanja huyo zaidi ya kuwapanga kichuya na gyan kama mabeki?
Mpira wa bongo michosho tuuu me nashabkia majuu tuu ukuu shabikien nyiny anagalien msije mkajtundka vtanz
 
Sasa mbona unafuatilia mada hii, ilhali kichwa cha habari kimeshadokeza kwamba mada inahusu hiyo Ligi uliyoacha kuishabikia?
 
Hii kauli yake ya juzi ya kusema atafutiwe msaidizi haraka ina maana gani?
wazee wa ten percent mshakubaliana awakatie kiasi cha hela kwenye mshahara wake kila mwezi?
alivyokuja si alisema begi lake hajafunga? mpeni team hata matola,amri saidi au julio,mnazengua tu na ma deals yenu ya ajabuajabu mnayopiga kwenye usajili na kuchukua cha juu kwenye mishahara kila mwezi
Eti atafutiwe msaidizi haraka,mshampa ukocha mkuu nini? kamzidi nini mayanja huyo zaidi ya kuwapanga kichuya na gyan kama mabeki?
hao uliowataja ni wahamasishaji wazuri lakini sio makocha wazuri kuna vitu wanakosa.mpeni Julio leo mtaoona migogoro haitaisha klabuni.Umbea na kugawanya wachezaji tu na kama wana uzoefu kwanini na wao wasiende Rwanda au Kenya kuchapa kazi
 
Kocha wa Simba Mrundi nadhani mfumo wa kutumia mabeki 3 imekuwa mapema mno kuutumia ktk mechi hasa mapinduzi cup..

Ilitakiwa ahakikishe umefanyiwa kazi sana mazoezini na kujua mapungu yake hasa kwa wachezaji wake na mwisho kuunaza kuutumia..

Maana mfumo huo wa 3:5:2:1 unabadili majukumu ya wachezaji mfn kichuya lazima acheze kama Victor Moses (beki) na wakati huko akashambulie..
 
Hahaaahhaha..

Julio tena??
 
hao uliowataja ni wahamasishaji wazuri lakini sio makocha wazuri kuna vitu wanakosa.mpeni Julio leo mtaoona migogoro haitaisha klabuni.Umbea na kugawanya wachezaji tu na kama wana uzoefu kwanini na wao wasiende Rwanda au Kenya kuchapa kazi
Nadhani kama ni kweli wanakosea..

Mapema sana kumpa timu huyo Mrundi
 
Kocha wa Simba Mrundi nadhani mfumo wa kutumia mabeki 3 imekuwa mapema mno kuutumia ktk mechi hasa mapinduzi cup..

Ilitakiwa ahakikishe umefanyiwa kazi sana mazoezini na kujua mapungu yake hasa kwa wachezaji wake na mwisho kuunaza kuutumia..

Maana mfumo huo wa 3:5:2:1 unabadili majukumu ya wachezaji mfn kichuya lazima acheze kama Victor Moses (beki) na wakati huko akashambulie..
Watanzania kila kitu kwenu kibaya. Kocha kaleta mfumo mpya na alitakiwa afanyie majaribio ili aone mapungufu yaliyopo. Sasa majaribio angefanya wapi kama siyo kombe la mapinduzi? Pia kwa kuwa mfumo unahitaji wachezaji vijana ndiyo maana amechezesha vijana wengi kuliko wazee katika mechi zote. Wazee pia wanatakiwa kwenye timu kwa ajili ya kuhamasisha vijana ndiyo maana alikuwepo Bocco na Erasto nyoni. Acheni kushadadia mamo msiyoyajua. Kocha yupo sahihi kabisa. Na mtaona matunda yake kwenye ligi
 
Nimekuelewa brother, tatizo wabongo wengi wetu twapenda kuingilia taaluma tusizokuwa na ujuzi nazo. Mtu anafikia kumrekebisha hadi Gurdiola. Duh, zis iz bongo.
 
Watanzania tunajifanya tunajua kila kitu wakati hatujui kila kitu. Umetoa mfano mzuri sana wa Gurdiola. Last year alivurunda sana lakini sasa unaona mambo yanavyokwenda? Tatizo la hapa kwetu hata machezaji yenyewe ni majipu. Kocha akija na mbinu mpya nzuri watafanya fitina hadi afukuzwe
 
Professionalism is all about professional autonomy. Namuona Matola anarudi Simbs
 
Back
Top Bottom