Matola is a good coach ila hawezi kuwa head coach maana hana lessen ya kuwa kocha mkuu wa ligi kuu..Hata kule Lipul ni kocha msaidia kocha mkuu ni Saidi aliyewahi kuwa kocha msaidi wa Simba kipindi cha Patrick Phili na makocha kadhaa waliokwisha pita Simba