Nani anamtumia Luhaga Mpina? Ni Seif Ali Seif wa Superdoll?

Seif hawezi kuwa mjinga kiasi cha kumtumia poyoyo kama Mpima au mwengine yeyote kuwa dhidi ya serikali.

Kufikiria hovyo ni ufataani tu.
 
Hebu twambie basi imekuwaje kampuni iliyo sajiliwa january 2024 ipewe kibali cha kuleta sukari kuzidi vibali vya wenye viwanda vya sukari?😂😂😂😂😂😂
 
Well said
 
Luhaga ni mdomo wa Chadema bdani ya CCM, yuko bize kukibomoa chama kinachomfanya aende maliwatoni
Acheni ujinga nyinyi maswala ya kutetea chama huku rasilimali za nchi zikiibiwa ni ulofa na upumbavu mkubwa sana.

Pingeni ushahidi wa Mpina kwa hoja na si kwa kutuhumu mambo yasiyoeleweka.

Vyama vya siasa vitapita lakini taifa litaendelea kubaki siku zote mpaka ukamilifu wa dahari.
 
Seif hawezi kuwa mjinga kiasi cha kumtumia poyoyo kama Mpima au mwengine yeyote kuwa dhidi ya serikali.

Kufikiria hovyo ni ufataani tu.
Ati poyoyo.
Umewahi kuandika "dissertation" ? Wewe ndiyo Poyoyo, ila unajua kusoma na kuandika.
Ukiangalia na kuisoma report ya Mpina kama "dissertation vile" imejitosheleza, "Kwa nini Bashe Kadanganya Bunge"
 
Hoja hupingwa kwa hoja. Chukua hoja zake zipinge kwa data halafu mwisho ndipo ueleze uliyoyaeleza! Aidha kama umekopi tu, acha kutumiaka
Hapohapo hivyo ndivyo tunatakiwa kuargue Kisayansi, anyway huo ndio ugonjwa wetu. Mh Mpina ametoa hoja kama 10 za uhongo wa Bashe na kwa kila hoja sio tu ametoa correct narration kusupport hoja yake pia ametoa undisputed evidence. Nilitegemea mtu makini wa upande wa pili na yeye kufanya hivyo.

Sisi wasikilizaji hatupingi hoja zako ila inabidi mpinga hoja atoe narration inayoeleweka kama ya za Mh Mpina halafu atoe ushahidi , ilibidi autafute kama Mh Mpina alivyofanya, vinginevyo tunaona ni majungu na huyu anaingia kwenye kundi la watu dhahifu wasiojua kujenga hoja, kumake a case niliokuwa nawataja.Ila sishangai, Mh Mpina amegusa pabaya na hawakuwa wamejiandaa;sasa ilitakiwa watulie na kujipanga namna ya kupangua hoja zake na sio kukurupuka kama alivyofanya huyu mpambe. Jamani hii ni sayansi, namna ya kujenga na kupinga hoja.

Narration yako inaonyesha kabisa ni ya kuungaunga na kimbeya, umeungaunga contents hata mtoto anagundua lengo la mwandishi ni kuondoa credibity ya mtoa hoja thus hoja zake mahili.

Kibaya zaidi mwandishi huyu amevunja msingi mkubwa wa kujenga hoja; angetoa hiyo narration ya kimbeya halafu akaacha wasomaji watoe hukumu, sasa yeye alipokosea sana tena sana ni kuwalazimisha wasomaji wafikiri kama yeye, watoe hukumu bila vielelezo kama yeye,kama vile haitoshi anaendelea kuwahukumu tayari eti kwa nini wanamuamini mtu kama huyu. Hivi unafikiri watanzania wa sasa ni wajinga kama wa zamani, Ni suala la muda tu. Pathetic
 
Naona bilioni zaidi ya 27 zilizopatikana kwenye njama za Bashe zinaanza kusambazwa hadi kwa kigogo wa twitter kumshambulia mpina mnashindwa kujibu Hoja za mpina kweli watanzania ni wajinga sana
 
Ni swali la kujiuuliza kwanini Brazil bei ya sukari Iko chini sana
 
Hili nalo Mtaliangalia wenyewe Halinihusu.

Ninachojua ni kwamba Mpina ameweka hadharani wizi unaofamywa na viongozi na watendaji wa serikali.

Hayo mengine binafsi ya Mpina hayahalalishi Wizi huu Mkubwa.

Rubani washa ndege tuondoke zetu.
 
Mpina ni tapeli tu, hata morogoro ametapeli ekari 1000 za wakulima, kama anajifanya anapenda wazalendo na masikini, awarudishie mashamba yao, matrekta yake yanalima mpaka kwenye milango ya wanavijiji
Hoja dhaifu sana. Tapeli anaweza kuwa mkombozi kwa jambo jingine
 
Aione Stuxnet na Huihui2 (vijana jifunze kupinga hoja kwa kujenga hoja ukitumia data kama mpina)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…