Nani anamtumia Luhaga Mpina? Ni Seif Ali Seif wa Superdoll?

Copy & Paste kutoka Kigogo Media

LUHANGA MPINA ANASUKUMA AJENDA YA MAJIZI NA "MA -CARTEL" YA SUKARI TANZANIA

NATAKA NIANZE kwa kusema suala la tatizo la sukari Tanzania halitakaa liishe kama tutaendelea kuwaacha ma cartel wa sukari wakiongozwa na mmiliki wa kiwanda cha sukari cha Kagera Sugar (mmiliki wa Super Doll) bwana Seif Ali Seif na watu walioko ndani ya bodi ya sukari Tanzania.

Seif Ali Seif ni mtu hatari sana na anaendesha kundi la ma cartel wa sukari ndani ya Tanzania kwa muda mrefu sana. Yeye na kundi lake ndiyo wanaamua sukari ipatikane au isipatikane ,iuzwe kwa bei gani na kwa wakati gani. Amekuwa anafanya hivyo miaka mingi sana na kundi hili limefanikiwa kuziyumbisha serikali zilizopita kwa kuwa wanatumia sukari kama silaha ya kuigombanisha serikali na wapiga kura. Kitendo cha serikali hii kuamua kutaka kuweka sheria ya kupa mamlaka NRFA kuagiza,kuhifadhi na kusambaza sukari nimwiba mkali sana kwa ma cartel hawa na ndiyo maana sasa wanatumia fedha nyingi sana kutaka kukwamisha mchakato huu.

Luhanga Mpina huwezi kuwa mtu sahihi wa kusema haya mambo kwa kuwa wewe una maslahi sana na familia ya Seif Ali Seif wa Super Doll na tunajua jinsi ambavyo ulishirikiana nao ukiwa waziri wa mifugo na uvuvi kukwapua pande la ardhi la zaidi ya hekari 20,000 huko Kagera na tunajua una maelfu ya ng’ombe ndani ya ranchi yao huko Kagera na mmejimilikisha mapande ya ardhi na maeflu ya hekari mlizompora yule mwekezaji wa kizungu kwa kigezo kuwa hana mtaji wa kuendeleza eneo hilo huko Kagera. Tunajua wewe Mpina ndiye uliyekuwa dalali katu ya Seif Ali Seif kuachia ardhi ya karibu hekari 200,000 huko Kagera na kummilikisha Magufuli na kujaza ng’ombe maelfu kwa maelfu mpaka hii leo.

Mpina wewe ni CANCER ndani ya taifa hili kwa sababu kuna uchafu mwingi sana umefanya ukiwa na Seif Ali Seif mkisaidiwa na Magufuli mlipokuwa mnagombania mashamba na ranchi huko Kagera. Mbona huwaambii watanzania kuwa Seif Ali Seif alimpa Magufuli ranchi ya hekari 200,000 huko Kagera? Mbona husemi mlimpora mwekezaji wa kizungu hekari 60,000 mkazimiliki wewe na Super Doll? Mbona husemi umepewa hekari 20,000 na Seif Ali Seif huko Kagera na unafuga maelfu ya ng’ombe mnaouza Uganda kinyemela?

KWA MATAKATAKA HAYA YA LUHANGA MPINA HAWEZI KUWA MTU SAHIHI KUJIFANYA ANAWATETEA WATANZANIA KWA HALI YOYOTE ILE.

SUALA la sukari Tanzania tunajua linaendeshwa na ma cartel na majizi yakiongozwa na Seif Ali Seif ambao kwa sababu za kijambazi tu walitaka bei ya sukari ipande kwa shilingi 1,000/= permanently( yaani walitaka ongezeka hili liwe la kudumu hata baada ya uhaba wa sukari kuisha) na hawakutaka ipungue hata kama uhaba umepungua na yote hii inafanywa na kundi hili ili kupata faida kubwa sana. Kundi hili ndilo liko nyumna ya Mpina baada ya kufeli kutumia vyombo vya habari kusambaza mambo haya mbali na kuwaahidi kuwalipa 50m TZS kila gazeti litakaloandika habari hii ndiyo maana sasa wamegeukia akina Mpina na kutumia social media kusambaza ajenda yao hii yenye lengo la kukwamisha mpango wa serikali kuipa NRFA mamlaka ya kuagiza ,kuhifadhi na kusambaza sukari nchini.

SWALI nalojiuliza tunapokuwa na crisis kama ya sukari na watu wanataka sukari cha kwanza tunaangalia nani analeta sukari kusaidia watanzania au tunaangalia sifa za kampuni? Yaani hata kama ingekuwa ni kampuni ya kuuza maandazi ina uwezo wa kuleta sukari kwani kuna shida gani ikaleta sukari kama ina uwezo na ikakidhi shida kwa wakati huo? Hoja ya kuwa kampuni ya kuuza simu imeagiza sukari sidhani kama ina maana kwa sababu wakati wa crisis yoyote mwenye uwezo anaweza kufanya hivyo. Tunajua kwa nini mnalalamika kwa kuwa mlitaka wale wahindi wenu watano wa mika yote ndiyo wapewe hii kazi ili waongeze bei ya sukari kama ilivyo kawaida yenu! Hata ingekuwa ni kampuni ya kusomba taka ina uwezo wa kuagiza sukari wakati wa shida sioni kama ni kosa kufanya hivyo ili mradi watanzania wamepata sukari na wameondokana na shida ya sukari iliyokuwa inawakabili.

Kama serikali mlitaka ifanyeje wakati kikundi cha watu wachache wawakoseshe sukari watanzania milioni 60 kwa kuwa tu kikundi cha ma cartel kimeamua kukataa kuagiza sukari na kuficha sukari? Hakuna serikali duniani ya kijinga hivyo inayoweza kukubali wafanyabiashara wa aina ya Super Doll waitie nchi kwenye crisis kwa kuwa tu wameamua kutengeneza shida ya makusudi. Hivi kweli Super Doll na nyie watu wa bodi ya sukari kwa akili zenu kabisa mnataka kuongeza bei ya sukari kwa shilingi 1,000/= kwa kilo permanently bila kujali kuwa uhaba au hakuna. Kama wakati wa uhaba bei inapanda tunaelewa kwa sababu hayo ni mambo ya kiuchumi lakini yaani sukari ipo na inazalishwa kwa wingi halafu bado mnataka ongezeko la 1,000/= kwa kilo liwe la kudumu? Hivi nyie mko sawa kweli? Mnawaonaje watanzania?

Tunajua kuwa Mpina anashikirikiana na Super Doll ambao ni wamiliki wa kiwanda cha Kagera Sugar kuwanahonga baadhi ya wabunge shilingi 30m TZS kila mmoja kwa lengo la kupinga hoja na sheria ya kutaka NRFA ipewe uwezo wa kisheria kununua sukari na kuisambaza nchini. Swali ni kwa nini Super Doll na bwana Seif Ali Seif na kundi la majizi menzake wanatumia fedha nyingi kiasi hiki kukwamisha suala hili? Kama wao hawahusiki na uharamu wa usambazaji wa sukari nchini wanawezaje kulipa zaidi ya wabunge 25 shilingi 30m kila mmoja kupinga suala hili la NRFA kupewa mamlaka kisheria kushunghulikia ununuzi ,uhifadhi na uzambazaji wa sukari nchini?

Watanzania tunawaambia haya ili muwe makini mkiona kila mbunge anasimama na kupinga kuanzishwa kwa sheria ya kutaka NRFA kununua na kusambaza sukari basi kaeni mkijua ni miongozi mwa waliowekwa mfukoni na Super Doll na kiranja wao ni Mpina.

Yaani serikali inapotafuta njia ya kudumu ya kushughulika na ma cartel haya ya sukari na majizi yanayotengeneza crisis ya sukari ili yapate faida sana na kuumiza watanzania kuna wabunge muda huu wameshalipwa na wanajiandaa kupinga kupitishwa kwa sheria hii. Kwa maneno rahisi ni kuwa wanataka kundi la akina Seif Ali Seif wamendelee kuwashikilia mateka watanzania milioni 60 linapokuja suala la uhaba wa sukari kwa kuwa wao wanapata faida sana na hawajali lolote.

Yaani wabunge wa ajabu sana hawa. Mnawezaje kupinga muswada huu kwa manufaa ya watu wachache na kuizuia serikali kununua sukari na kuisabambaza kunapotokea upungufu nchini? Au na nyie mnafurahi wananchi wanapokuwa wanahangaika na ukosefu wa sukari? Au 35m mlizopewa kwenu ni kitu cha maana sana na mnasaliti wapige kura wenu? Mnasaliti watanzania? Mnasaliti chama chenu? Na zaidi ya yote mnamsaliti Rais wetu? Haiingii akilini kama kweli mbunge kachaguliwa kuwatetea watanzania leo anashirikiana na wahuni kama Mpina kukwamisha jambo kubwa na la maana sana linalokwenda kutibu uhuni unaofanywa na makampuni ya sukari yanayotengeneza crisis kila siku na kuongeza bei ya sukari kwa faida yao na kuumiza watanzania.

TUNAWAASA wabunge wa bunge la Tanzania kuwa makini sana na kuwasaidia watanzania kwenye shida hii kwa kupitisha hii sheria ya kuruhusu NRFA kupewa manlaka ya kisheria ya kununua na kusambaza sukari ili suala hili lihamie mikononi mwa serikali kwa kuwa haya majizi ya akina Super Doll yanahangaika sana kukwamisha jambo hili kwa lengo la kuendelea kuwanyonya watanzania.

Luhanga Mpina na kundi lake wao ni mawakala wa majizi haya ndani ya bunge la Tanzania na lengo lao ni kukwamisha muswada huu na kuona suala la sukari linaendelea kuwa ni tatizo sugu mikan endo miaka rudi. Haiwezekani lazima ifike mahali jambo hili lipate tiba ya kudumu na muda wake ni sasa.

CCM tunawatazama kwa makini sana na tunawashangaa sana mnapokuwa na Mbunge kama Mpina ambaye amegeuka kuwa mpinzani wa kila kitu ndani ya bunge na serikali ya chama chake kwa manufaa ya watu majizi kama akina Super Doll. Tunajua mtamshughulikia tu mwakani lakini kati ya sasa na mwakani anachofanya ni hatari sana kwa ustawi wa chama chake na nchi hii.

Pia soma
Huyu jamaa wa kuitwa Kigogo anachekesha kweli?? Hivi Hekari laki 2 anazijua kweli? Au anaropoka kama amekatwa Kichwa???

Wamombo huwa wanasema makosa mawili huwa hayatengenezi kweli moja

Hivi ni kweli unawanyima kibali wenye viwanda kuagiza sukari halafu unaenda kuwapa wenye leseni ya stationery na wasambazaji wa electronic kuleta sukari aisee japo sijui ila nachelea kusema we Kigogo ni wale wale

Kanusheni kwanza madai ya kuchelewa kutoa kibali cha kuagiza sukari, sukari kuuzwa elfu 10, kiwanda hakijazalisha hata kilo moja uzalishaji ulipungua, pia suala la Gape sugar😂😂😂

Ila Bongo buana unamnyima mwenye kiwanda cha sukari halafu unampa muuza karatasi akuagizie sukari wakati ana mtaji wa milioni 1😂😂
 
Rubbish at its best!
1. Alichosema Mpina kuhusu Bashe kutoa vibali bila kufuata utaratibu ni sahihi?
2. Kwa nini mtu mmoja mnayemwita eti ni cartel, asumbue serikali kwa muda mrefu namna hii bila kukomeshwa? U-cartel wake umeanza kuonekana baada ya hoja ya Mpina?
3. Kama Mpina alikwapua ardhi ya wananchi alichukuliwa hatua gani? Kukwapua kweke kumeonekana baada ya kuibua hizo hoja?
Huu ujinga wa majambazi wa CCM kuanza kumbambikia mtu tuhuma za uongo baada ya kuona anasema ukweli utaaminiwa na wajinga tu.
 
sisi tunachotaka kuona ni Sukari kuwa bei rahisi na inapatikana Kwa urahisi, haya mengine ni kelele tu mnatupigia.

SISI WATANZANIA HATUONI UGUMU WOWOTE UNAOSABABISHA KUKOSEKANA KWA SUKARI ZA SERIKALI KUSHINDWA KUSIMAMIA MAMLAKA ZAKE NA KUHAKIKISHA SUKARI INAPATIKA KWA URAHISI.
 
Huyo SAS naye ni mwanaccm.

Kwahiyo majizi yametofautiana ndio moshi umeanza kufuka baada ya mmoja kuchoma nyumba.

Hivyo majizi yakipata kimaslahi tena wadanganyika mtaendelea kuumia.
 
Serikali aka Dola ina vyombo vyote vinavyoweza kuzuia hujuma yeyote dhidi ya watu wake, sasa kama mtu mdogo Seif na Mpina wanafanya yote hayo na dola ipo maana yake nini sasa ?

Wewe huoni sasa Dola imeshindwa kazi yake na hao Mpina na Seif wananguvu kuliko Dola na ikiwezekana tuwakabidhi wao Dola.
 
Mpina ni tapeli tu, hata morogoro ametapeli ekari 1000 za wakulima, kama anajifanya anapenda wazalendo na masikini, awarudishie mashamba yao, matrekta yake yanalima mpaka kwenye milango ya wanavijiji
Hayo matrekta yanalima sukari? Mada iliyopo mezani ni ya sukari.
 
Copy & Paste kutoka Kigogo Media

LUHANGA MPINA ANASUKUMA AJENDA YA MAJIZI NA "MA -CARTEL" YA SUKARI TANZANIA

NATAKA NIANZE kwa kusema suala la tatizo la sukari Tanzania halitakaa liishe kama tutaendelea kuwaacha ma cartel wa sukari wakiongozwa na mmiliki wa kiwanda cha sukari cha Kagera Sugar (mmiliki wa Super Doll) bwana Seif Ali Seif na watu walioko ndani ya bodi ya sukari Tanzania.

Seif Ali Seif ni mtu hatari sana na anaendesha kundi la ma cartel wa sukari ndani ya Tanzania kwa muda mrefu sana. Yeye na kundi lake ndiyo wanaamua sukari ipatikane au isipatikane ,iuzwe kwa bei gani na kwa wakati gani. Amekuwa anafanya hivyo miaka mingi sana na kundi hili limefanikiwa kuziyumbisha serikali zilizopita kwa kuwa wanatumia sukari kama silaha ya kuigombanisha serikali na wapiga kura. Kitendo cha serikali hii kuamua kutaka kuweka sheria ya kupa mamlaka NRFA kuagiza,kuhifadhi na kusambaza sukari nimwiba mkali sana kwa ma cartel hawa na ndiyo maana sasa wanatumia fedha nyingi sana kutaka kukwamisha mchakato huu.

Luhanga Mpina huwezi kuwa mtu sahihi wa kusema haya mambo kwa kuwa wewe una maslahi sana na familia ya Seif Ali Seif wa Super Doll na tunajua jinsi ambavyo ulishirikiana nao ukiwa waziri wa mifugo na uvuvi kukwapua pande la ardhi la zaidi ya hekari 20,000 huko Kagera na tunajua una maelfu ya ng’ombe ndani ya ranchi yao huko Kagera na mmejimilikisha mapande ya ardhi na maeflu ya hekari mlizompora yule mwekezaji wa kizungu kwa kigezo kuwa hana mtaji wa kuendeleza eneo hilo huko Kagera. Tunajua wewe Mpina ndiye uliyekuwa dalali katu ya Seif Ali Seif kuachia ardhi ya karibu hekari 200,000 huko Kagera na kummilikisha Magufuli na kujaza ng’ombe maelfu kwa maelfu mpaka hii leo.

Mpina wewe ni CANCER ndani ya taifa hili kwa sababu kuna uchafu mwingi sana umefanya ukiwa na Seif Ali Seif mkisaidiwa na Magufuli mlipokuwa mnagombania mashamba na ranchi huko Kagera. Mbona huwaambii watanzania kuwa Seif Ali Seif alimpa Magufuli ranchi ya hekari 200,000 huko Kagera? Mbona husemi mlimpora mwekezaji wa kizungu hekari 60,000 mkazimiliki wewe na Super Doll? Mbona husemi umepewa hekari 20,000 na Seif Ali Seif huko Kagera na unafuga maelfu ya ng’ombe mnaouza Uganda kinyemela?

KWA MATAKATAKA HAYA YA LUHANGA MPINA HAWEZI KUWA MTU SAHIHI KUJIFANYA ANAWATETEA WATANZANIA KWA HALI YOYOTE ILE.

SUALA la sukari Tanzania tunajua linaendeshwa na ma cartel na majizi yakiongozwa na Seif Ali Seif ambao kwa sababu za kijambazi tu walitaka bei ya sukari ipande kwa shilingi 1,000/= permanently( yaani walitaka ongezeka hili liwe la kudumu hata baada ya uhaba wa sukari kuisha) na hawakutaka ipungue hata kama uhaba umepungua na yote hii inafanywa na kundi hili ili kupata faida kubwa sana. Kundi hili ndilo liko nyumna ya Mpina baada ya kufeli kutumia vyombo vya habari kusambaza mambo haya mbali na kuwaahidi kuwalipa 50m TZS kila gazeti litakaloandika habari hii ndiyo maana sasa wamegeukia akina Mpina na kutumia social media kusambaza ajenda yao hii yenye lengo la kukwamisha mpango wa serikali kuipa NRFA mamlaka ya kuagiza ,kuhifadhi na kusambaza sukari nchini.

SWALI nalojiuliza tunapokuwa na crisis kama ya sukari na watu wanataka sukari cha kwanza tunaangalia nani analeta sukari kusaidia watanzania au tunaangalia sifa za kampuni? Yaani hata kama ingekuwa ni kampuni ya kuuza maandazi ina uwezo wa kuleta sukari kwani kuna shida gani ikaleta sukari kama ina uwezo na ikakidhi shida kwa wakati huo? Hoja ya kuwa kampuni ya kuuza simu imeagiza sukari sidhani kama ina maana kwa sababu wakati wa crisis yoyote mwenye uwezo anaweza kufanya hivyo. Tunajua kwa nini mnalalamika kwa kuwa mlitaka wale wahindi wenu watano wa mika yote ndiyo wapewe hii kazi ili waongeze bei ya sukari kama ilivyo kawaida yenu! Hata ingekuwa ni kampuni ya kusomba taka ina uwezo wa kuagiza sukari wakati wa shida sioni kama ni kosa kufanya hivyo ili mradi watanzania wamepata sukari na wameondokana na shida ya sukari iliyokuwa inawakabili.

Kama serikali mlitaka ifanyeje wakati kikundi cha watu wachache wawakoseshe sukari watanzania milioni 60 kwa kuwa tu kikundi cha ma cartel kimeamua kukataa kuagiza sukari na kuficha sukari? Hakuna serikali duniani ya kijinga hivyo inayoweza kukubali wafanyabiashara wa aina ya Super Doll waitie nchi kwenye crisis kwa kuwa tu wameamua kutengeneza shida ya makusudi. Hivi kweli Super Doll na nyie watu wa bodi ya sukari kwa akili zenu kabisa mnataka kuongeza bei ya sukari kwa shilingi 1,000/= kwa kilo permanently bila kujali kuwa uhaba au hakuna. Kama wakati wa uhaba bei inapanda tunaelewa kwa sababu hayo ni mambo ya kiuchumi lakini yaani sukari ipo na inazalishwa kwa wingi halafu bado mnataka ongezeko la 1,000/= kwa kilo liwe la kudumu? Hivi nyie mko sawa kweli? Mnawaonaje watanzania?

Tunajua kuwa Mpina anashikirikiana na Super Doll ambao ni wamiliki wa kiwanda cha Kagera Sugar kuwanahonga baadhi ya wabunge shilingi 30m TZS kila mmoja kwa lengo la kupinga hoja na sheria ya kutaka NRFA ipewe uwezo wa kisheria kununua sukari na kuisambaza nchini. Swali ni kwa nini Super Doll na bwana Seif Ali Seif na kundi la majizi menzake wanatumia fedha nyingi kiasi hiki kukwamisha suala hili? Kama wao hawahusiki na uharamu wa usambazaji wa sukari nchini wanawezaje kulipa zaidi ya wabunge 25 shilingi 30m kila mmoja kupinga suala hili la NRFA kupewa mamlaka kisheria kushunghulikia ununuzi ,uhifadhi na uzambazaji wa sukari nchini?

Watanzania tunawaambia haya ili muwe makini mkiona kila mbunge anasimama na kupinga kuanzishwa kwa sheria ya kutaka NRFA kununua na kusambaza sukari basi kaeni mkijua ni miongozi mwa waliowekwa mfukoni na Super Doll na kiranja wao ni Mpina.

Yaani serikali inapotafuta njia ya kudumu ya kushughulika na ma cartel haya ya sukari na majizi yanayotengeneza crisis ya sukari ili yapate faida sana na kuumiza watanzania kuna wabunge muda huu wameshalipwa na wanajiandaa kupinga kupitishwa kwa sheria hii. Kwa maneno rahisi ni kuwa wanataka kundi la akina Seif Ali Seif wamendelee kuwashikilia mateka watanzania milioni 60 linapokuja suala la uhaba wa sukari kwa kuwa wao wanapata faida sana na hawajali lolote.

Yaani wabunge wa ajabu sana hawa. Mnawezaje kupinga muswada huu kwa manufaa ya watu wachache na kuizuia serikali kununua sukari na kuisabambaza kunapotokea upungufu nchini? Au na nyie mnafurahi wananchi wanapokuwa wanahangaika na ukosefu wa sukari? Au 35m mlizopewa kwenu ni kitu cha maana sana na mnasaliti wapige kura wenu? Mnasaliti watanzania? Mnasaliti chama chenu? Na zaidi ya yote mnamsaliti Rais wetu? Haiingii akilini kama kweli mbunge kachaguliwa kuwatetea watanzania leo anashirikiana na wahuni kama Mpina kukwamisha jambo kubwa na la maana sana linalokwenda kutibu uhuni unaofanywa na makampuni ya sukari yanayotengeneza crisis kila siku na kuongeza bei ya sukari kwa faida yao na kuumiza watanzania.

TUNAWAASA wabunge wa bunge la Tanzania kuwa makini sana na kuwasaidia watanzania kwenye shida hii kwa kupitisha hii sheria ya kuruhusu NRFA kupewa manlaka ya kisheria ya kununua na kusambaza sukari ili suala hili lihamie mikononi mwa serikali kwa kuwa haya majizi ya akina Super Doll yanahangaika sana kukwamisha jambo hili kwa lengo la kuendelea kuwanyonya watanzania.

Luhanga Mpina na kundi lake wao ni mawakala wa majizi haya ndani ya bunge la Tanzania na lengo lao ni kukwamisha muswada huu na kuona suala la sukari linaendelea kuwa ni tatizo sugu mikan endo miaka rudi. Haiwezekani lazima ifike mahali jambo hili lipate tiba ya kudumu na muda wake ni sasa.

CCM tunawatazama kwa makini sana na tunawashangaa sana mnapokuwa na Mbunge kama Mpina ambaye amegeuka kuwa mpinzani wa kila kitu ndani ya bunge na serikali ya chama chake kwa manufaa ya watu majizi kama akina Super Doll. Tunajua mtamshughulikia tu mwakani lakini kati ya sasa na mwakani anachofanya ni hatari sana kwa ustawi wa chama chake na nchi hii.

Pia soma
Leo tumemjua kigogo ni nani
 
  • Naona wanajitokeza baada ya 'kupigwa vilivyo'.
  • Kwa bandiko hili, kila mtetezi anaweza kupewa mashtaka hata aliyofanya utotoni.
  • Hii vita ya Mpina Vs Bashe inalianika taifa, ni miongoni mwa aibu - kiashiria cha serikali kuwekwa mfukoni.
  • Yawezekana ndio miongoni mwa sababu viongozi wa nchi jirani kudhatarau viongozi wetu wakuu.
 
SASA UNAAMBIWA M
Wewe mleta hoja hii ndio Cancer yenyewe sisi wananchi ndio tunapata shida sasa twambie kama hasemi ukweli kwa nini kutokee Crisis ya sukari!jibu kwa hoja sio kuleta habari za Magufuli na Ranchi kiukweli mafisadi mnasaidiana sana lakini amini nawaambieni siku zenu zinahesabika kumbuka walikuwepo kina Gaddafi na Saddam wako wapi leo hii???
ATAJIRI WANAFICHA SUKARI WEWE UNASEMA HUJAELEWA WATU WANATAKA KUTENGENEZA PESA
 
Hayo ya Morogoro mngojeni huko huko sasa tunamuunga mkono kwenye sakata la sukari likiisha ndiyo mumuanzishie hilo la mashamba.
Sisi tunataka viwili (1) sukari iwepo na (2) iuzwe kwa bei ya Tsh 1,800. Hayo ma bifu yenu yaendee huko
 
Ni swali la kujiuuliza kwanini Brazil bei ya sukari Iko chini sana
Brazil, India, Thailand, USA na China ndiyo nchi zinaongoza kwa uzalishaji wa sukari duniani.

Makampuni mengi yanayozalishq huko ndiyo yamefungua viwanda nchi zikizoendelea. Mara ñyingine huku nchi zikizoendelea viwanda hutumika kama distribution centres tu
 
Ningekua ndio mimi mbunge Meneja Wa Makampuni ningekaa na kutulia natengeneza report nzuri na data za kudefend report iliyotolewa na mbunge kisha nageuza ukweli kuwa uongo naita waandishi wa habari napresent report yangu ili kuwaaminisha wananchi nilicho kiandaa kisha naenda bungeni na report yangu napresent kwa heshima zote kwa spika na data zangu za ushahidi na bunge linakubali na kupiga makofi.
Baada ya break namtafuta mbunge mpina tunaendelea kupiga story na kucheka huku tunakunywa chai.
HUKU MNAKUNYWA CHAI YENYE SUKARI
 
Seif hawezi kuwa mjinga kiasi cha kumtumia poyoyo kama Mpima au mwengine yeyote kuwa dhidi ya serikali.

Kufikiria hovyo ni ufataani tu.
Kwa hiyo wewe ajuza unadhani wamjua Seif Ali Seif vizuri kuliko mwenye mada? Au unaamua kumtetea kwa vile ni Muislamu
 
Back
Top Bottom