Nani anamtumia Luhaga Mpina? Ni Seif Ali Seif wa Superdoll?

Huyu jamaa wa kuitwa Kigogo anachekesha kweli?? Hivi Hekari laki 2 anazijua kweli? Au anaropoka kama amekatwa Kichwa???


Wamombo huwa wanasema makosa mawili huwa hayatengenezi kweli moja

Hivi ni kweli unawanyima kibali wenye viwanda kuagiza sukari halafu unaenda kuwapa wenye leseni ya stationery na wasambazaji wa electronic kuleta sukari aisee japo sijui ila nachelea kusema we Kigogo ni wale wale

Kanusheni kwanza madai ya kuchelewa kutoa kibali cha kuagiza sukari, sukari kuuzwa elfu 10, kiwanda hakijazalisha hata kilo moja uzalishaji ulipungua, pia suala la Gape sugar😂😂😂

Ila Bongo buana unamnyima mwenye kiwanda cha sukari halafu unampa muuza karatasi akuagizie sukari wakati ana mtaji wa milioni 1😂😂
 
Rubbish at its best!
1. Alichosema Mpina kuhusu Bashe kutoa vibali bila kufuata utaratibu ni sahihi?
2. Kwa nini mtu mmoja mnayemwita eti ni cartel, asumbue serikali kwa muda mrefu namna hii bila kukomeshwa? U-cartel wake umeanza kuonekana baada ya hoja ya Mpina?
3. Kama Mpina alikwapua ardhi ya wananchi alichukuliwa hatua gani? Kukwapua kweke kumeonekana baada ya kuibua hizo hoja?
Huu ujinga wa majambazi wa CCM kuanza kumbambikia mtu tuhuma za uongo baada ya kuona anasema ukweli utaaminiwa na wajinga tu.
 
sisi tunachotaka kuona ni Sukari kuwa bei rahisi na inapatikana Kwa urahisi, haya mengine ni kelele tu mnatupigia.

SISI WATANZANIA HATUONI UGUMU WOWOTE UNAOSABABISHA KUKOSEKANA KWA SUKARI ZA SERIKALI KUSHINDWA KUSIMAMIA MAMLAKA ZAKE NA KUHAKIKISHA SUKARI INAPATIKA KWA URAHISI.
 
Huyo SAS naye ni mwanaccm.

Kwahiyo majizi yametofautiana ndio moshi umeanza kufuka baada ya mmoja kuchoma nyumba.

Hivyo majizi yakipata kimaslahi tena wadanganyika mtaendelea kuumia.
 
Serikali aka Dola ina vyombo vyote vinavyoweza kuzuia hujuma yeyote dhidi ya watu wake, sasa kama mtu mdogo Seif na Mpina wanafanya yote hayo na dola ipo maana yake nini sasa ?

Wewe huoni sasa Dola imeshindwa kazi yake na hao Mpina na Seif wananguvu kuliko Dola na ikiwezekana tuwakabidhi wao Dola.
 
Mpina ni tapeli tu, hata morogoro ametapeli ekari 1000 za wakulima, kama anajifanya anapenda wazalendo na masikini, awarudishie mashamba yao, matrekta yake yanalima mpaka kwenye milango ya wanavijiji
Hayo matrekta yanalima sukari? Mada iliyopo mezani ni ya sukari.
 
Leo tumemjua kigogo ni nani
 
  • Naona wanajitokeza baada ya 'kupigwa vilivyo'.
  • Kwa bandiko hili, kila mtetezi anaweza kupewa mashtaka hata aliyofanya utotoni.
  • Hii vita ya Mpina Vs Bashe inalianika taifa, ni miongoni mwa aibu - kiashiria cha serikali kuwekwa mfukoni.
  • Yawezekana ndio miongoni mwa sababu viongozi wa nchi jirani kudhatarau viongozi wetu wakuu.
 
SASA UNAAMBIWA M
ATAJIRI WANAFICHA SUKARI WEWE UNASEMA HUJAELEWA WATU WANATAKA KUTENGENEZA PESA
 
Hayo ya Morogoro mngojeni huko huko sasa tunamuunga mkono kwenye sakata la sukari likiisha ndiyo mumuanzishie hilo la mashamba.
Sisi tunataka viwili (1) sukari iwepo na (2) iuzwe kwa bei ya Tsh 1,800. Hayo ma bifu yenu yaendee huko
 
Ni swali la kujiuuliza kwanini Brazil bei ya sukari Iko chini sana
Brazil, India, Thailand, USA na China ndiyo nchi zinaongoza kwa uzalishaji wa sukari duniani.

Makampuni mengi yanayozalishq huko ndiyo yamefungua viwanda nchi zikizoendelea. Mara ñyingine huku nchi zikizoendelea viwanda hutumika kama distribution centres tu
 
HUKU MNAKUNYWA CHAI YENYE SUKARI
 
Seif hawezi kuwa mjinga kiasi cha kumtumia poyoyo kama Mpima au mwengine yeyote kuwa dhidi ya serikali.

Kufikiria hovyo ni ufataani tu.
Kwa hiyo wewe ajuza unadhani wamjua Seif Ali Seif vizuri kuliko mwenye mada? Au unaamua kumtetea kwa vile ni Muislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…