Nani anamtumia Luhaga Mpina? Ni Seif Ali Seif wa Superdoll?

Ikiwa mkweli Sana, mnyoofu katika mambo yako, mpinga wizi, rushwa, ufisadi au mpinga dhuluma tambua ya kwamba kwako Afrika siyo mahali salama pa kuishi. Luhaga Mpina achukue tahadhari kubwa katika suala hili.
Hiyo ndio maana ya kuwatumikia wananchi,pia waadilifu tupo tunaendelea kumuombea.
Hawa wapiga dili wajue,siku moja watakufa,mali zao watawarithisha watoto wao wasiojua maana ya kuvuja jasho
watatuuzia kwa bei poa,chama kikishawekwa kwenye nyumba ya makumbusho ya taifa,Tujifunze ANC kule bondeni.
 
WaTz walalahoi kamba yetu iko wapi? Maana nchi inafakamiwa kiasi cha kutisha, kila upande, rais, mawaziri, spika, wabunge, ila wananchi ndio hawaoni hiyo kamba ili nao wale!
 
ndg yangu usitutoe ktk ajenda ya upigaji huu mkubwa kupitia sukari, kama ulijua hayo ungeyaleta humu kabla mpina hajatapika njongo
 
Mleta mada hujawahi kuwa na akili, uchawa umekupofua macho na akili hata kama hilo andiko la hovyo umelitoa kwa kigogo, kama ungekuwa na akili timamu ungetakiwa kuliacha huko huko.
Kati ya mimi na wewe denoo JG nani ana akili kuliko mwenzie? Imagine unaiponda mada yangu baada ya kuisoma. Halafu wewe post yako ni #98. Mada ambazo hazina mvuto posts hazifiki hata 20

Kwani kuna ubaya gani kuleta mada ya Kigogo humu?
 
Luhaga ni mdomo wa Chadema bdani ya CCM, yuko bize kukibomoa chama kinachomfanya aende maliwatoni
Kukilinda chama ni kukaa kimya hata kama kuna mabaya yanatendeka nchini as long as anayeyatenda ni mwana CCM mwenzake ama ulimaanisha nini.?
 
Kakwambia huyo anayepambania maslahi ya kundi lake, na wewe bila udadisi wowote ukahamisha akili?
Mambo mengi huwa tunayajadili humu JF yenye ushahidi na yasiyo na ushahidi na huwa tuna comment kwa uhuru, wewe kama unaona hii thread ni ya uongo weka ukweli tuone.

Mpina mwenyewe ni masalia ya Sukuma Gang.
 
Naona mnaanza kumsingizia bilionea Seif hizi hoja za mpina, Mzee seif ni mfanyabiashara mwenye heshima yake toka enzi za Hayati Mwinyi mpaka SSH. anaheshimika kwa michango yake. Kwa ufupi maraisi wote wamekuwa karibu sana na Seif na haweza kuwafanyia hiyana maana bila wao asingekuwa hapo alipo na bila yeye wengine hata wasingekuwa maraisi.

Mzee seif ni mmoja ya wawekezaji wanaolipa wafanyakazi wao vizuri sana. nenda Superdoll halafu uone jinsi workplace yake ilivyo kwenye standard za kiulaya, uliza mishahara, uliza labour turnover upate uhalisi. Tunajivunia kuwa na mwekezaji mzawa kama seif sio wachina.
 
Usikute kuna watu wapo tyari kusoma haya matakataka yako

Tupo na MPINA HADI MKOME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…