Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Kama ambavyo Edo Kumwembe havutii kumsikilizaPriva ni mnyama sana kuhusu tetesi za usajili bongo ila havutii kabisa kwenye kumsikiliza akiwa anauchambua mpira, yan hamnamo kitu mule[emoji38]
Sio kumdiss ila ndio ukweliTulianza kumdisd eddo kumwembe tumehamia kwa huyu
Tatizo mmbongo akishakosolewa tu, anamuona MTU mbaya.Kwangu mimi hanishawishi kabisa, yuko shalo sana kwenye content, nimeshindwa kumuelewa kabisa, yaani Clouds wamemuondoa Issa Maeda (mchambuzi uchwara) wamemleta Privaldinho (mchambuzi uchwara zaidi)
Nani anamuelewa huyu mchambuzi?
wabongo utawaweza mkuuNafuatilia mada ila mpaka sasa sijaona kuwekwa wazi hicho anachokosea Priva ni kipi?
Hii thd inaweza kutumika kumjenga zaidi kuliko kumkatisha tamaa,ni vizuri yakawekwa hapa hayo mapungufu yake kisha akapata ushauri jinsi ya kudeal na hayo mapungufu,
Huyu ni kijana mdogo na ninaamini anayo nafasi ya kujifunza zaidi.
Kwangu mimi hanishawishi kabisa, yuko shalo sana kwenye content, nimeshindwa kumuelewa kabisa, yaani Clouds wamemuondoa Issa Maeda (mchambuzi uchwara) wamemleta Privaldinho (mchambuzi uchwara zaidi)
Nani anamuelewa huyu mchambuzi?