Nani anamuelewa huyu mchambuzi Privaldinho?

Nani anamuelewa huyu mchambuzi Privaldinho?

Kwangu mimi hanishawishi kabisa, yuko shalo sana kwenye content, nimeshindwa kumuelewa kabisa, yaani Clouds wamemuondoa Issa Maeda (mchambuzi uchwara) wamemleta Privaldinho (mchambuzi uchwara zaidi)

Nani anamuelewa huyu mchambuzi?
Tatizo mmbongo akishakosolewa tu, anamuona MTU mbaya.
 
Nafuatilia mada ila mpaka sasa sijaona kuwekwa wazi hicho anachokosea Priva ni kipi?

Hii thd inaweza kutumika kumjenga zaidi kuliko kumkatisha tamaa,ni vizuri yakawekwa hapa hayo mapungufu yake kisha akapata ushauri jinsi ya kudeal na hayo mapungufu,

Huyu ni kijana mdogo na ninaamini anayo nafasi ya kujifunza zaidi.
wabongo utawaweza mkuu
Ukute wao hata kuchambua rede hawawezi..
Priva anakuja vizuri na kama binadamu lazima awe na mapungufu
 
Kwangu mimi hanishawishi kabisa, yuko shalo sana kwenye content, nimeshindwa kumuelewa kabisa, yaani Clouds wamemuondoa Issa Maeda (mchambuzi uchwara) wamemleta Privaldinho (mchambuzi uchwara zaidi)

Nani anamuelewa huyu mchambuzi?

Huyu si ndio
Katika zile Takataka zilizo katika Payroll ya Injinia
 
Back
Top Bottom