Una elewa maana ya karama ya utumishi.Acha wivu tafuta hela. Wamissionari walitoka huko mpaka huku kutafuta kondoo
Yesu hakutulia mji mmoja alizunguka sana
Na aliagiza ya kwamba ENENDENI ULIMWENGUNI KOTE... sasa wewe unasoma biblia ukiwa umeyumia aina gani ya kikevi mpaka usielewe jambo dogo hilo?
Jibu hili hapa ni kuwa kapola anatii agizoNdo shida ya waumini wa sasa.
Wana reasoning capacity ndogo sana
Unasemakwa kutumia neno KAMA. kwani karama yake unaijua?Una elewa maana ya karama ya utumishi.
Kuna mwalimu,nabii,mtume,mchungaji.
Kama wito wake ni mchungaji ilibidi achunge kanisa la mahali pamoja .
Wala sina interest za kuingilia reasoning capacity zao sababu to each on its own lakini maswala ya imani yanahitaji utulivu na uvumilivu mkubwa kwenye kuhatabanaisha ukweli na uongo wa hoja zake. Ukileta hisia tu kidogo lazima upindishe ukweli.Ndo shida ya waumini wa sasa.
Wana reasoning capacity ndogo sana
Ndio, kama unasoma biblia yako Yesu aliwaita watu kizazi cha nyoka, mbweha. Unajua kwa nini?Mbona Mwakasege hatuhoji.
Ufanye ujinga au ovyo usiulizwe kisa kizazi cha nyoka.
Acha akili mgando
Unafuata uchunguzi wa maisha ya watu au unafuata neno la Mungu? Aibu dume zima kujadili mavazi ya mke wa mtu. Mtu huvaa mumewe apendavyo.Nani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola.
Kanisa lake liko wapi ?
Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma
Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?
Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo matapeli wa zimbabwe ?
Haya majibu haya hapa. Kapola anatii maagizo
View attachment 2677674
Una gubu wewe si bure. Hivi wajua KKKT ilianzia Germany na Roman Catholic Italy, yaulize mashetani yanayokupa kichaa bongo makanisa hayo yamefikaje?Kama mwalimu kama mwakasege sawa.
Ila kama mchungaji inabidi uache kuzurura ukae uchunge kanisa lako.
Watu wake wa morogoro wanachungwa na nani?
Anafuata Hela tu kutwa Dad,dodoma si aende njombe ,iringa ,ruvuma
Ngoja nikuambie kitu. Biblia inaturuhusu kupima watumishi wa Mungu ili kujua wapo chini ya roho ipi. Upo sahihi katika test the spirits .How do you know if your pastor is authentic or not...?
And how do you differentiate the sermon from good public speakers with the one from God's servants..?
Una shida wewe m.... unanijibu kwa hoja ipi ?Una gubu wewe si bure. Hivi wajua KKKT ilianzia Germany na Roman Catholic Italy, yaulize mashetani yanayokupa kichaa bongo makanisa hayo yamefikaje?
Unasoma biblia ya kuzimuUna shida wewe m.... unanijibu kwa hoja ipi ?
Maana mchungaji lazima ukae utulie uchunge kanisa lako.
Ahsante.Ngoja nikuambie kitu. Biblia inaturuhusu kupima watumishi wa Mungu ili kujua wapo chini ya roho ipi. Upo sahihi katika test the spirits .
Pia inabidi kujua utatumia vigezo gani katika kupima ambavyo vyote vipo katika biblia.
1John 4
Dear friends, do not believe every spirit, but test the spirits to see whether they are from God, because many false prophets have gone out into the world. but every spirit that does not acknowledge Jesus is not from God.
Mpenzi wangu, nimekulinganisha Na farasi katika magari ya Farao.Una gubu wewe si bure. Hivi wajua KKKT ilianzia Germany na Roman Catholic Italy, yaulize mashetani yanayokupa kichaa bongo makanisa hayo yamefikaje?
Chuki ni sumu.Ni tapeli m1 hivi mjini.
Ana mafungamano ya huduma yake na tapeli wa Zimbabwe ambaye ni mtakatishaji fedha maarufu sanaa
Sawa ngoja nikueleze kitu.A matter sio kusoma bible.
Hoja zangu nilizouliza sijajibiwa hata Moja
Thats not my job. It took a long period for the disciples to understand jesus teachings. Vipi kuhusu kizazi hiki itakuwaje?How do you know if your pastor is authentic or not...?
And how do you differentiate the sermon from good public speakers with the one from God's servants..?