2025DG
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 520
- 1,498
- Thread starter
- #21
Una elewa maana ya karama ya utumishi.Acha wivu tafuta hela. Wamissionari walitoka huko mpaka huku kutafuta kondoo
Yesu hakutulia mji mmoja alizunguka sana
Na aliagiza ya kwamba ENENDENI ULIMWENGUNI KOTE... sasa wewe unasoma biblia ukiwa umeyumia aina gani ya kikevi mpaka usielewe jambo dogo hilo?
Kuna mwalimu,nabii,mtume,mchungaji.
Kama wito wake ni mchungaji ilibidi achunge kanisa la mahali pamoja .