Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Huyo Kapola ni tapeli kama matapeli wengine.
Yuko talented na Biblia kidogo anaijua ila hajasimama katika kweli and he is only after money, show off, u celebrity na show na waumini wake. Ndiyo maana mahubiri yake yamelenga katika motivation tu na social commentaries; na siyo wokovu, kuacha dhambi wala kumrudia Mungu. Anguko lake huyu dogo litakuwa la aibu kubwa. Kuna mambo anafanya pale kanisani kwake yanasikitisha sana japo kwa sasa ni kama kapatelekeza kamwachia dogo mmoja Msukuma lecturer wa SUA anaitwa Masunga.

Mwekeni katika maombi ili Mungu Amrudishe katika mstari vinginevyo it is only a matter of time before he falls maana Mungu huwa hadhihakiwi!
 
Kwanini atulii kanisani kwake ?

Waumini wake wanachungwa na nani?

Kwanini haubili mavazi?
Mbona wewe hutulii humu mtandaoni na machapishi yako yanasomwa na members wote humu...halafu kuhusu mavavi, hayo ni ya waumini wenyewe, Pastor anahusikaje... labda kama alikuwa anawanunulia mwenyewe...
 
Kama anachakata mbususu za waumini sioni kama kuna tatizo.
 
Very true the man is sua alumni
 
Ndio maana wengine hawataki kuwa maarufu,fikiri Tony anafanya kazi ya Mungu na Mungu amemuinua kati ya vijana wengi waliokataa wito wa kumtumikia Mungu wengine hawataki hata kusalimia au kusalimiwa Bwana Yesu asifiwe zaidi hawataki wafahamike kama wameokokoka ila wanamponda na kumzushia kijana wa watu mara yupo after money,anavaa vibaya na mengine mengi ambayo mtu hana uhakika, mwanadamu, mwanadamu mpaka lini utakubali kutumiwa na shetani.Biblia inasema mtu akimkosa mwenzake Mungu atamhukumu je mtu akimkosea Mungu nani atamtetea,ndugu acheni kumchokoza Mungu.

Mtu mmoja akimkosa mwenzake, Mungu atamhukumu; lakini mtu akimkosa Bwana, ni nani atakayemtetea? Lakini hawakuisikia sauti ya baba yao, kwa sababu Bwana amekusudia kuwaua.

1 Samweli 2:25
 
Biblia imesema pia siku za mwisho kutakuwa na manabii wa uongo. Na ikasisitiza sio kila anayelitaja jina la Mungu ni mtu wa Mungu.
 
Nani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola.

Kanisa lake liko wapi ?
Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma

Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?

Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo matapeli wa zimbabwe ?
Nguo za hovyo ni zipi? Acheni mind za kufuata tamaduni za kiarabu na kizungu. Uliwahi kuona kuwa wanyama hawajavaa nguo? Mbona wanapendeza? Nguo ni matokeo ya dhambi na ni baada ya Adam na Eva kutenda dhambi kabla ya hapo nguo sio maamrisho ya Mungu Bali ni suala la kitamaduni. Kila jamii, na hata familia Ina tamaduni zake kuhusu Mavazi. Kwanza asili ya mwafrika ni kufunika tuu eneo la mbele tu sehemu nyingine zipo wazi. Kuna baadhi ya jamii za kiafrika pamoja na utandawazi wamedumisha Mila hizo mfano ni WAZULU wa Afrika kusini na Wana maendeleo kuliko sisi. Endeleeni kuwa watumwa wa Mila na tamaduni za kigeni mkidhani mnamfurahisha Mungu
 
Hujui unachokisema.

Binafsi naheshimu sana watumishi wa Mungu lakini ukweli acha usemwe. Wengine hawajasimama katika kweli na wanafanya madhara makubwa sana na huu Ukristo wetu wa kisasa wa kuabudu personality za hawa mitume na manabii badala ya kusimama katika Neno.

Na kwa vile Mungu huwa hadhihakiwi, subiri anguko lake litakapofika ndiyo utaelewa. Kwa sasa kama unasali kwake au unamwona tu kwenye TV huwezi kuelewa. Tunza hii comment na tuombe tuwe wazima.

Pray for him, if you can!

 
Unaushahidi kwa hayo uliyoandika au umehadithiwa.
 
Una elewa maana ya karama ya utumishi.

Kuna mwalimu,nabii,mtume,mchungaji.


Kama wito wake ni mchungaji ilibidi achunge kanisa la mahali pamoja .
Kuna katumishi fulani kachawi nilishakutana nako eti kananiambia kana karama zote hizo kamepewa..!
Nikasema Mungu sio rahisi kumpa mtu zote hizo..anakupa kitu ambacho kinakufit kabisa.sitakuja kukasahau kale kajamaa kalitufanyia mambo ya kichawi sana kalituroga sana na wife kumbe kalikua kanamtaka wife.

Siku nikikutana nako katanitambua ndo maana hadi leo sitaki kusikia mambo ya sijui nabii sijui mitume sijui kutabiri, napiga goti namwomba Mungu mwenyewe na anafungua.Mungu hana upendeleo kwamba ni wa watu fulani ni Wetu sote.

Kale kajamaa kana devilish doctrines. Kumbe bhana kanafuga nyoka na kana pete kama hizi za kiganga ila hakaivai. Kanakurushia mapepo ili ukacheki kayatoe ukape hela Kalitutesa sana mpaka tulipokuja gundua na majirani kugundua. fungu la kumi fungu la kumi ndo wimbo huo ulikua.
 
Jamaa angu! Hiki ulichoandika hapa, kama kina ukweli, basi Mungu atakuinua sana, na dunia itakujua; Ila kama ni uongo, basi anguko lako litakuwa ni la kudumu. Amen!..
Mbona mnapenda sana kutoa vitisho? Mungu ni wenu peke yenu na anatenda kila mnalomwambia?

Wewe kama unaweza anza kumwombea ili atubu na kurudi kwenye kweli. Vinginevyo ataanguka tu tena anguko la aibu kuu. Time will tell!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…