Ndio maana wengine hawataki kuwa maarufu,fikiri Tony anafanya kazi ya Mungu na Mungu amemuinua kati ya vijana wengi waliokataa wito wa kumtumikia Mungu wengine hawataki hata kusalimia au kusalimiwa Bwana Yesu asifiwe zaidi hawataki wafahamike kama wameokokoka ila wanamponda na kumzushia kijana wa watu mara yupo after money,anavaa vibaya na mengine mengi ambayo mtu hana uhakika, mwanadamu, mwanadamu mpaka lini utakubali kutumiwa na shetani.Biblia inasema mtu akimkosa mwenzake Mungu atamhukuoomu je mtu akimkosea Mungu nani atamtetea,ndugu acheni kumchokoza Mungu.
Mtu mmoja akimkosa mwenzake, Mungu atamhukumu; lakini mtu akimkosa Bwana, ni nani atakayemtetea? Lakini hawakuisikia sauti ya baba yao, kwa sababu Bwana amekusudia kuwaua.
1 Samweli 2:25