Nguo za hovyo ni zipi? Acheni mind za kufuata tamaduni za kiarabu na kizungu. Uliwahi kuona kuwa wanyama hawajavaa nguo? Mbona wanapendeza? Nguo ni matokeo ya dhambi na ni baada ya Adam na Eva kutenda dhambi kabla ya hapo nguo sio maamrisho ya Mungu Bali ni suala la kitamaduni. Kila jamii, na hata familia Ina tamaduni zake kuhusu Mavazi. Kwanza asili ya mwafrika ni kufunika tuu eneo la mbele tu sehemu nyingine zipo wazi. Kuna baadhi ya jamii za kiafrika pamoja na utandawazi wamedumisha Mila hizo mfano ni WAZULU wa Afrika kusini na Wana maendeleo kuliko sisi. Endeleeni kuwa watumwa wa Mila na tamaduni za kigeni mkidhani mnamfurahisha Mungu