"Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Hassan Zungu amesema kuna utamaduni unaojengwa wa kuipiga dongo Serikali kuhusu tozo za miamala ya kieletroniki wakati kuna watu wanachukua fedha nyingi kuliko Serikali."
Kwani kwanini yeye anatamani mno serikali kuvuna hata isipopanda?
Kwa nini yeye hapendekezi wabunge (akiwamo yeye na wote wengine) kulipa kodi stahiki tu?
Marehemu Mtikila aliwahi kuwapa jina la Watanzania wenye asili ya Asia kuwa ni Magabachori. Pengine matendo yake na kauli zake hizi ndiyo yanawatambulishwa kupitia katika jina hilo.
Endapo jamii hii ingekuwa ikiishi kwa kujichanganya huko Uswazi kwenye vipimo vya nusu na robo, endapi tu kama jamii hii ingekuwa ikichanganya damu zao na kuoa ama kuolewa na Waswahili, basi tungekuwa sote tukizungumza lugha moja.
Lakini kwa kuwa kuna machotara wachache mno basi hapi ujue hana "any feel of touch" katika kile kinachogusa maskini wengi wa nchi hii. Yeye anajua tabaka analotoka lina uwezo wa kukidhi mahitaji ya kifedha.