Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
mtaalamiinaweza kunipa linkBy laws
Sheria/taratibu ndogo ndogo zinazoundwa na Serikali ndogo(kata,mtaa nk) na si Serikali kuu (eg wizara)
Kiunganishi kipi ?mtaalam unaweza kunipa link
kama kuna link ya hizo sheria ndogo ndogo. kuna majamaa yananitoza pesa ya taka kwa kukomoaKiunganishi kipi ?
wajinga saa hawa jamaaHao wanaojiita ulinzi shirikishi, ukikutana nao usiku wanavaa kama majambazi. Marungu na magongo mengi as if wanaenda kuvunja sehemu. Ila bado watu wanaibiwa.
Wanaokusanya hizo kodi za taka na ulinzi shirikishi, wakija kugonga mageti wanakuja na jazba sana.
Serikali yako ya mtaa ndio ilikaa na mwenye tenda ya kukusanya taka(kampuni) na waka kubaliana viwango.kama kuna link ya hizo sheria ndogo ndogo. kuna majamaa yananitoza pesa ya taka kwa kukomoa
wahuni flani tu huko maofisini hata ukifuatilia hawakuambii ni nani yaani imekuwa kero kama kodi vile wakianza kukunganganiaWakuu naomba kuelimishwa hapa. Anayepanga hizi tozo tunazolipa Serikali ya mitaa ni nani? hasa Kinondoni.
tozo kama Garbage fee collection, Ulinzi shirikishi.
Nani anapanga kiwango na je hwa jamaa wapo chini ya nani? who regulate them.