The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
πππJapo tunawaona kama watu wawili tofauti, wanasiasa na viongozi wa dini ni kitu kimoja au niseme mapacha walioungana kiunoni. Ukitaka kuliona na kulijua hili angalia yafuatayo:
Wote, huvuna wasipopanda na kupanda wasipovuna. Mfano, wote wanatumia maneno hasa ahadi hewa na za uongo kuwaibia na kuwatuliza wafuasi wao na wahanga kwa ujumla. Wote hutoa ahadi zisizotekelezeka wala kuingia akilini. Wanasiasa uahidi vinono duniani wakati viongozi wa dini uahidi hivyo hivyo peponi. Wote si wana demokrasia. Wanahubiri maji na kunywa mvinyo, unafiki na uongo.
Wote wanawatoza watu fedha na kuzitumia bila kutoa kutaka wala kuwa tayari kutoa maelezo ya zinavyotumika. Wote wanapenda ujiko hata wasipostahili. Pia, chanzo cha dini na siasa ni kimoja, yaani vimeletwa toka ughaibuni kututawala na kutunyonya.
Viongozi wa dini wakisifia watawala, hii siyo kuchanganya dini na siasa bali uzalendo. Wakiwaapisha na kuwabariki, wanafanya vyema. Ila wanapoonya, wanachanganya dini na siasa. Wanasiasa wakichangia shughuli za dini, wanatimiza wajibu wao. Viongozi wa dini wakiwa machawa, ni sawa. Wakikengeuka na kuunga mkono wapinzani, wanachanganya dini na siasa. Kimsingi, dini na siasa vyote ni mifumo ya kikoloni ya kumtawala na kumpumbaza mwanadamu ili kumuibia na kumdhibiti.
Viongozi wakiwapumbaza waumini na kuwasihi waiunge mkono serikali mbovu siyo kuchanganya dini. Wakiwaaminisha wahanga wa jinai hizi kuwa umaskini wao ni wa kuumbwa, wanatenda vyema. Ila wakiwastua wadai haki, wanachanganya dini na siasa.
Wote hujifanya wajuaji hata kwa yale wasiyojua. Na katika hili, hawapendi wala kukubali kupingwa wala kukosolewa. Tuna mashehe waliojigeuza machawa na maaskofu waliokataa uchawa. Wote wanafanya siasa japo wana milengo na makundi tofauti. Kimsingi, dini na siasa vinalala kitanda kimoja na kufanya jambo moja. Hata ukiangalia ukoloni barani Afrika, bila dini, huenda usingefanikiwa haraka na kwa kasi kama iivyotoke
Kiukweli, hakuna kitu kinaitwa kuchanganya dini na siasa bali usanii na gea ya kuwachanganya wahanga wa jinai hizi za kujitakia tulizoletewa na wakoloni.
Unaweza kuthibitisha kwa hoja zenye mashiko au unajisemea tu?Sio kweli, dini na siasa ni vitu viwili tofauti kabisa.
Serikali tu ndiyo aruhusiwa kuchanganya dini na siasa,kwa kuwa huzihudumia dini na si vinginevyoJapo tunawaona kama watu wawili tofauti, wanasiasa na viongozi wa dini ni kitu kimoja au niseme mapacha walioungana kiunoni. Ukitaka kuliona na kulijua hili angalia yafuatayo:
Wote, huvuna wasipopanda na kupanda wasipovuna. Mfano, wote wanatumia maneno hasa ahadi hewa na za uongo kuwaibia na kuwatuliza wafuasi wao na wahanga kwa ujumla. Wote hutoa ahadi zisizotekelezeka wala kuingia akilini. Wanasiasa uahidi vinono duniani wakati viongozi wa dini uahidi hivyo hivyo peponi. Wote si wana demokrasia. Wanahubiri maji na kunywa mvinyo, unafiki na uongo.
Wote wanawatoza watu fedha na kuzitumia bila kutoa kutaka wala kuwa tayari kutoa maelezo ya zinavyotumika. Wote wanapenda ujiko hata wasipostahili. Pia, chanzo cha dini na siasa ni kimoja, yaani vimeletwa toka ughaibuni kututawala na kutunyonya.
Viongozi wa dini wakisifia watawala, hii siyo kuchanganya dini na siasa bali uzalendo. Wakiwaapisha na kuwabariki, wanafanya vyema. Ila wanapoonya, wanachanganya dini na siasa. Wanasiasa wakichangia shughuli za dini, wanatimiza wajibu wao. Viongozi wa dini wakiwa machawa, ni sawa. Wakikengeuka na kuunga mkono wapinzani, wanachanganya dini na siasa. Kimsingi, dini na siasa vyote ni mifumo ya kikoloni ya kumtawala na kumpumbaza mwanadamu ili kumuibia na kumdhibiti.
Viongozi wakiwapumbaza waumini na kuwasihi waiunge mkono serikali mbovu siyo kuchanganya dini. Wakiwaaminisha wahanga wa jinai hizi kuwa umaskini wao ni wa kuumbwa, wanatenda vyema. Ila wakiwastua wadai haki, wanachanganya dini na siasa.
Wote hujifanya wajuaji hata kwa yale wasiyojua. Na katika hili, hawapendi wala kukubali kupingwa wala kukosolewa. Tuna mashehe waliojigeuza machawa na maaskofu waliokataa uchawa. Wote wanafanya siasa japo wana milengo na makundi tofauti. Kimsingi, dini na siasa vinalala kitanda kimoja na kufanya jambo moja. Hata ukiangalia ukoloni barani Afrika, bila dini, huenda usingefanikiwa haraka na kwa kasi kama iivyotoke
Kiukweli, hakuna kitu kinaitwa kuchanganya dini na siasa bali usanii na gea ya kuwachanganya wahanga wa jinai hizi za kujitakia tulizoletewa na wakoloni.
Si kweli. Hata dini zinaihudumia serikali kwa kudumaza akili za wafuasi wao.Serikali tu ndiyo aruhusiwa kuchanganya dini na siasa,kwa kuwa huzihudumia dini na si vinginevyo
Serikali ya nyerere ilifundisha ujamaa,na binaadam kutokana na nyani, mijadala ikawa mikubwa taasisi za elimu na wasomi kuacha dini,'taasisi ya dini' ikalalama kwa nyerere ikihofia kukosa wawakilishi serikalini,joto likatulizwa,so serikali haihitaji dini,kama china tuSi kweli. Hata dini zinaihudumia serikali kwa kudumaza akili za wafuasi wao.
Wanaoruhusiwa kuchanganya dini na siasa kwa awamu hii ni Bakwata tuuuu. Wale wa majoho ni marufuku.Japo tunawaona kama watu wawili tofauti, wanasiasa na viongozi wa dini ni kitu kimoja au niseme mapacha walioungana kiunoni. Ukitaka kuliona na kulijua hili angalia yafuatayo:
Wote, huvuna wasipopanda na kupanda wasipovuna. Mfano, wote wanatumia maneno hasa ahadi hewa na za uongo kuwaibia na kuwatuliza wafuasi wao na wahanga kwa ujumla. Wote hutoa ahadi zisizotekelezeka wala kuingia akilini. Wanasiasa uahidi vinono duniani wakati viongozi wa dini uahidi hivyo hivyo peponi. Wote si wana demokrasia. Wanahubiri maji na kunywa mvinyo, unafiki na uongo.
Wote wanawatoza watu fedha na kuzitumia bila kutoa kutaka wala kuwa tayari kutoa maelezo ya zinavyotumika. Wote wanapenda ujiko hata wasipostahili. Pia, chanzo cha dini na siasa ni kimoja, yaani vimeletwa toka ughaibuni kututawala na kutunyonya.
Viongozi wa dini wakisifia watawala, hii siyo kuchanganya dini na siasa bali uzalendo. Wakiwaapisha na kuwabariki, wanafanya vyema. Ila wanapoonya, wanachanganya dini na siasa. Wanasiasa wakichangia shughuli za dini, wanatimiza wajibu wao. Viongozi wa dini wakiwa machawa, ni sawa. Wakikengeuka na kuunga mkono wapinzani, wanachanganya dini na siasa. Kimsingi, dini na siasa vyote ni mifumo ya kikoloni ya kumtawala na kumpumbaza mwanadamu ili kumuibia na kumdhibiti.
Viongozi wakiwapumbaza waumini na kuwasihi waiunge mkono serikali mbovu siyo kuchanganya dini. Wakiwaaminisha wahanga wa jinai hizi kuwa umaskini wao ni wa kuumbwa, wanatenda vyema. Ila wakiwastua wadai haki, wanachanganya dini na siasa.
Wote hujifanya wajuaji hata kwa yale wasiyojua. Na katika hili, hawapendi wala kukubali kupingwa wala kukosolewa. Tuna mashehe waliojigeuza machawa na maaskofu waliokataa uchawa. Wote wanafanya siasa japo wana milengo na makundi tofauti. Kimsingi, dini na siasa vinalala kitanda kimoja na kufanya jambo moja. Hata ukiangalia ukoloni barani Afrika, bila dini, huenda usingefanikiwa haraka na kwa kasi kama iivyotoke
Kiukweli, hakuna kitu kinaitwa kuchanganya dini na siasa bali usanii na gea ya kuwachanganya wahanga wa jinai hizi za kujitakia tulizoletewa na wakoloni.
Mwanangu niheshimie. Ulidhani sifikiri kweli π π π πNimependa huu uchambuzi. Uwe wa kweli au sio wa kweli. Inaonesha akili yako ipo hai, na ubongo wako unafikiri
Nakubaliana nawe.Dini imezaa siasa Au siasa imezaa dini
Majority of the population never bother to look at things with an independent mind. It's easier to go with the flow, stick to existing teachings ....etc.Mwanangu niheshimie. Ulidhani sifikiri kweli π π π π
Dini zina utaratibu na miongozo, zina vitabu, guidlines. Vongozi wa dini watacheza kote but hawatoki nje ya taratibu za dini zao.Unaweza kuthibitisha kwa hoja zenye mashiko au unajisemea tu?
CCM au wafia dini wakikuelewa nahamia Burundiπππ