Nani anasajiri chuo veta au nacte!

Second hand

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
72
Reaction score
6
What'up wanajamvi pande za wanazuoni! Straight to point ningependa mnijuze taasisi gani inawajibu wa kusajiri vyuo vidogo vidogo ambavyo vinatoa elimu kwa ngazi ya cheti mfano ya computer, biashara. Je; ni NACTE au VETA. Kuna utitiri mkubwa wa vyuo mitaani ambavyo havina ufanisi, SO; nitajuaje kama chuo kimesajiliwa na kinatambulika kwa sababu nina cheti cha computer applications sasa sijui waajiri watakikubali au la . Majibu wenu tafadhali yaniondolee mtandiko.
 

Vingine uchwara kweli vingine vinafahamika kwa maana ya kuwa na usajili, na kuhusu kukubalika na waajiri inategemea na mahitaji ya hao waajiri ila muhimu sana kusoma kwenye vyuo au shule zilizosajiliwa.
 

Vyuo vilivyosajiliww na veta vingi ata ukisoma diploma kwenye kuapply degree lazima upate joto la kuni and vingi ni vile vya ghorofa ya 3 eg. Eggle wings, sinon, amazon nk ila kwa uhakika zaidi NACTE walitoa list ya vyuo anavyovitambua so unaweza kusearch kwenye web yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…