Second hand
Member
- Jan 20, 2013
- 72
- 6
What'up wanajamvi pande za wanazuoni! Straight to point ningependa mnijuze taasisi gani inawajibu wa kusajiri vyuo vidogo vidogo ambavyo vinatoa elimu kwa ngazi ya cheti mfano ya computer, biashara. Je; ni NACTE au VETA. Kuna utitiri mkubwa wa vyuo mitaani ambavyo havina ufanisi, SO; nitajuaje kama chuo kimesajiliwa na kinatambulika kwa sababu nina cheti cha computer applications sasa sijui waajiri watakikubali au la . Majibu wenu tafadhali yaniondolee mtandiko.