Nani anasema lady jaydee kafulia?

Nani anasema lady jaydee kafulia?

Joined
May 7, 2013
Posts
23
Reaction score
7
Ni dhahir kuwa mtu anayedai kuwa mwanamuziki regendary wa bongo fleva judith wambura(lady jaydee) kafulia basi ni wazi kuwa atakuwa na matatizo ya ubongo.kwa kumbukumbu chache tu nilizonazo jide alianza muzik miaka ya 2000 na alianza na wasanii kibao lakini sas ivi wako wapi?

Kwa nini amliangalii hilo? Ebu jaribuni kuwa na huruma na huyu mwanamke,kuna wanamuzik wa kiume alioanza nao miak hyo lakin wameishia njian kutokan na changamot fulan lakin jide hakukata tamaa kapambana hadi leo hii ninavyoongea na wew,mnavyofany ni kumkatisha tamaa,jide nadhan ndie mwanamuzik aliyepat tunzo za kumwaga pengine kuliko msanii yeyote,kwa record ndog tu niliyonayo toka mwaka 2006 hadi 2011 jide amekuw akinyakua tunzo za mwanamuzik bora wa kike achilia mbali category nyingine..kapamban hyu dada hadi kaunda band yake mwenyew na mgahawa wake bado mnasema kafulia?

Wako wapi wakina ray c? Ebu nitajie list ya wasanii angalau wenye mafanikio apa bongo je jide atakosa?,jaribun kukubal mchango wa huy dada au mnatak afe muanze kutoa unafiki wenu?,jide ni commando hakuna wa kulibisha hilo,jaribuni kuwa wapole kwa hili.
 
Andika vizuri basi ili RUGE aelewe

Ni joto la hasiraaa... yelela yelela na RUGE mwenyewe yelela yelela......
 
Kuna bwab.wa mmoja sijui ndio mmiliki wa redio fulani jijini ndio aliimba hiyo ngonjera
 
Jina amefulia mkuu hana jipya tena hizo tuzo za kilimanjaro hata kigwema ameshawahi kupata tuzo anapanga dj jd nani apewe unategemea nini? Jide kifupi hana jipya yeye mwenyewe anajua ndio maana full kujishitukia hii nyimbo yake mpya inaumiza masikio tu bora ikatumike kwenye mashamba ya mpunga kufukuzia ndege
 
Hahahh! Ndugu yangu umenichekesha sana eti " nyimbo ikatumike mashamba ya mpunga" duh nimecheka sana
 
Ni dhahir kuwa mtu anayedai kuwa mwanamuziki regendary wa bongo fleva judith wambura(lady jaydee) kafulia basi ni wazi kuwa atakuwa na matatizo ya ubongo.kwa kumbukumbu chache tu nilizonazo jide alianza muzik miaka ya 2000 na alianza na wasanii kibao lakini sas ivi wako wapi?

Kwa nini amliangalii hilo? Ebu jaribuni kuwa na huruma na huyu mwanamke,kuna wanamuzik wa kiume alioanza nao miak hyo lakin wameishia njian kutokan na changamot fulan lakin jide hakukata tamaa kapambana hadi leo hii ninavyoongea na wew,mnavyofany ni kumkatisha tamaa,jide nadhan ndie mwanamuzik aliyepat tunzo za kumwaga pengine kuliko msanii yeyote,kwa record ndog tu niliyonayo toka mwaka 2006 hadi 2011 jideamekuw akinyakua tunzo za mwanamuzik bora wa kike achilia mbali category nyingine..kapamban hyu dada hadi kaunda band yake mwenyew na mgahawa wake bado mnasema kafulia?

Wako wapi wakina ray c? Ebu nitajie list ya wasanii angalau wenye mafanikio apa bongo je jide atakosa?,jaribun kukubal mchango wa huy dada au mnatak afe muanze kutoa unafiki wenu?,jide ni commando hakuna wa kulibisha hilo,jaribuni kuwa wapole kwa hili.
asante kwa ufafanuzi mzuri wenye macho wameona
 
Jina amefulia mkuu hana jipya tena hizo tuzo za kilimanjaro hata kigwema ameshawahi kupata tuzo anapanga dj jd nani apewe unategemea nini? Jide kifupi hana jipya yeye mwenyewe anajua ndio maana full kujishitukia hii nyimbo yake mpya inaumiza masikio tu bora ikatumike kwenye mashamba ya mpunga kufukuzia ndege
Nimecheka mpaka basi hii comment!
 
Unamjua mtu aliyefulia wewe?? Jide kila week anapiga band yake live tena kwenye restaurant yake mwenyew,yule mwanamke hana shida na pesa na hategemei muziki kama wasanii wengine,kama unaongelea kuwa hasikiki kama zamani hao wanaosikika wana nini kumzidi jide?? Yule mwanamke anatengeneza pesa kushinda baba ako,upo apo??anaweza kulisha familia yako hadi mnakufa..sor kwa maneno makali imebidi tu
 
Kwa kukusaidia tu ebu kachungulie kweny facebook fan page ya lady jay dee afu angalia ana likes ngap,pumbafuuuu...jide yupo top three kati ya wanamuzik weny mashabiki wengi tz
 
Jide atakua kaanzisha bifu ili atokelezee kwenye headlines.
 
Haki ya mungu,wa bongo tuna roho mbaya!yani badala ya kumsifu dada wa watu na kumpa moyo,amesimama kwenye game kwa muda mrefu na kufanya vitu vingi vya kimaendeleo yake binafsi,kavuka vikwazo vingi,kakutana na changamoto nyingi lakini akazikabili bila kukata tamaa,siamini kumbe kuna watu wana choyo na maendeleo yake!wanaomba siku moja afulie wafurahi,ama wabongo tutazidi kuwa maskini kwa ajili ya roho za choyo.
 
Kwa kukusaidia tu ebu kachungulie kweny facebook fan page ya lady jay dee afu angalia ana likes ngap,pumbafuuuu...jide yupo top three kati ya wanamuzik weny mashabiki wengi tz

kama kuwa na mashabiki wengi hapa bongo kungepiwa na "likes za fb" basi akina Juma Nature wangekuwa wa mwisho.
 
Habari ndo hyo.... Na hao ni wale tu waliopat fursa ya kuwa na fb account bado list ni ndefu jide ni hatar na uwa habaatish mambo yake...
 
jamaa anashauri jide akabidhi kijiti , ila najiulizaga yeye ( rugay) hana wa kumkabidhi kijiti? Halafu kina chameleone, bebe kul(ug) huwa hawana wa kuwakabidhi vijiti?
 
yani kuna mijitu mijinga sana...kwaio ruge akisimama na kutamka jide kaisha na nyie mnakubali tu bila kureason,uyu ruge mnapenda kumpa nguvu wenyewe ambazo yeye wala hana ni ujinga tu wa kitanzania, yani kesho akisimama aseme ali kiba muda wake umeisha ata nyie great thinkers mnakubaliana na hilo na kuanza kushabikia inashangaza sana....ebu tuambieni ni msanii gani wa kike anayeweza kumtishia jide kwa wakati huu ndio tukubali propaganda zenu za kinafki.....nimeshangaa sana mtu kama mrisho mpoto anasimama jukwaani dodoma anamtukana dada wa watu sijui ata kamkosea nini,mpoto wewe ni wa kumtukana jide eti kaishiwa mara ivi mara vile utafikiri hakuna kesho.....hapa ndio huwa naaamini watanzania hatuitaji katiba mpya wala chama kipya tunachoitaji ni fikra mpya ndio tutatoka hapa tulipo.
 
ukimuona Lady JD muimbie ''CAROLINA MAMA MBONA WENZAKO WANACHEZA, KWA NINI WEWE UMENUNA?''...
Kisha usikie atakavyo kuchamba
 
yani kuna mijitu mijinga sana...kwaio ruge akisimama na kutamka jide kaisha na nyie mnakubali tu bila kureason,uyu ruge mnapenda kumpa nguvu wenyewe ambazo yeye wala hana ni ujinga tu wa kitanzania, yani kesho akisimama aseme ali kiba muda wake umeisha ata nyie great thinkers mnakubaliana na hilo na kuanza kushabikia inashangaza sana....ebu tuambieni ni msanii gani wa kike anayeweza kumtishia jide kwa wakati huu ndio tukubali propaganda zenu za kinafki.....nimeshangaa sana mtu kama mrisho mpoto anasimama jukwaani dodoma anamtukana dada wa watu sijui ata kamkosea nini,mpoto wewe ni wa kumtukana jide eti kaishiwa mara ivi mara vile utafikiri hakuna kesho.....hapa ndio huwa naaamini watanzania hatuitaji katiba mpya wala chama kipya tunachoitaji ni fikra mpya ndio tutatoka hapa tulipo.

Mpoto hovyo sana,mtumwa wa ruge na pia alikuwa ana personal interest....Jamaa nimeanza kumuona BWABWA sanaaaaaaa
 
Mpoto hovyo sana,mtumwa wa ruge na pia alikuwa ana personal interest....Jamaa nimeanza kumuona BWABWA sanaaaaaaa

Mpoto katushangaza wengi.hakuwa na sababu kuongea maneno yatayomuingiza kwenye malumbano ya kijinga.
Utafikiri Ruge huwa analoga akili za hawa wasanii!
Mpoto nakujifanya ana busara ameshindwa kusimama mahala pake?
Unafiki mbaya sana na kwa mpango wake wakufanya siasa ataishia kuchekesha tu.
 
Back
Top Bottom