Nani anasema lady jaydee kafulia?

Nani anasema lady jaydee kafulia?

Ni dhahir kuwa mtu anayedai kuwa mwanamuziki regendary wa bongo fleva judith wambura(lady jaydee) kafulia basi ni wazi kuwa atakuwa na matatizo ya ubongo.kwa kumbukumbu chache tu nilizonazo jide alianza muzik miaka ya 2000 na alianza na wasanii kibao lakini sas ivi wako wapi?

Kwa nini amliangalii hilo? Ebu jaribuni kuwa na huruma na huyu mwanamke,kuna wanamuzik wa kiume alioanza nao miak hyo lakin wameishia njian kutokan na changamot fulan lakin jide hakukata tamaa kapambana hadi leo hii ninavyoongea na wew,mnavyofany ni kumkatisha tamaa,jide nadhan ndie mwanamuzik aliyepat tunzo za kumwaga pengine kuliko msanii yeyote,kwa record ndog tu niliyonayo toka mwaka 2006 hadi 2011 jide amekuw akinyakua tunzo za mwanamuzik bora wa kike achilia mbali category nyingine..kapamban hyu dada hadi kaunda band yake mwenyew na mgahawa wake bado mnasema kafulia?

Wako wapi wakina ray c? Ebu nitajie list ya wasanii angalau wenye mafanikio apa bongo je jide atakosa?,jaribun kukubal mchango wa huy dada au mnatak afe muanze kutoa unafiki wenu?,jide ni commando hakuna wa kulibisha hilo,jaribuni kuwa wapole kwa hili.

Hata mi nakuunga ni watu wasio na upembuz yakinif wa kutumia akil ndo wanaosema kuwa amefulia wako wap akina Jay,Afande Sele,O ten, GK........na wengine wengi! Na pia yeye ana mafanikio makubwa tu nje ya mziki,acheni hizo propaganda za akina Ruge kwa sabab wameshikwa pabaya.
 
uyo mpoto hata darasa moja ,hajasoma.. unategemea aongee kitu cha maana kwli!
 
kama Mpoto ni #binadamu wa kawaida akipata record ya alichokiongea dodoma na kujisikiliza kwa makini lazima atagundua the PUMBAside of his brain. alishangaza
 
kama Mpoto ni #binadamu wa kawaida akipata record ya alichokiongea dodoma na kujisikiliza kwa makini lazima atagundua the PUMBAside of his brain. alishangaza
 
Ni dhahir kuwa mtu anayedai kuwa mwanamuziki regendary wa bongo fleva judith wambura(lady jaydee) kafulia basi ni wazi kuwa atakuwa na matatizo ya ubongo.kwa ku mbukumbu chache tu nilizonazo jide alianza muzik miaka ya 2000 na alianza na wasanii kibao lakini sas ivi wako wapi?

Kwa nini amliangalii hilo? Ebu jaribuni kuwa na huruma na huyu mwanamke,kuna wa kiume alioanza nao miak hyo wanamuzikmiak wameishia njian kutokan na changamot fulan lakin jide hakukata tamaa kapambana hadi leo hii ninavyoongea na wew,mnavyofany ni kumkatisha tamaa,jide nadhan ndie mwanamuzik aliyepat tunzo za kumwaga pengine kuliko msanii yeyote,kwa record ndog tu niliyonayo toka mwaka 2006 hadi 2011 jide amekuw akinyakua tunzo za mwanamuzik bora wa kike achilia mbali category nyingine..kapamban hyu dada hadi kaunda band yake mwenyew na mgahawa wake bado mnasema kafulia?

Wako wapi wakina ray c? Ebu nitajie list ya wasanii angalau wenye mafanikio apa bongo je jide atakosa?,jaribun kukubal mchango wa huy dada au mnatak afe muanze kutoa unafiki wenu?,jide ni commando hakuna wa kulibisha hilo,jaribuni kuwa wapole kwa hili.

Duh.....nadhani wewe ndio umefulia ndugu.....
 
kama ni kimuziki jide amefulia. na akuna anaelipinga ilo. kwa sasa ameshapokewa kijiti
 
Back
Top Bottom