Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,443
- 2,643
Sasa haya si muulizane wenyewe huko chuoni kwenu? Sisi inatuhusu nini?
Hizi shule za siku hizi ni shida tupu.
Ukitaka kujua ulivyo bweg.e, wasome hawa magreat thinkers hapa chini. Afu mwishowe utakuja kulialia wakati tunakufanyia interview. Watu kama wewe ndo mnakifanya CBE kionekane chuo cha vilazaKama haikuhusu pita mkono wa kushoto
Hayatuhusu dogo
Mkuu mleta mada,mwanacobeso humu JF ni wewe pekee hivyo watu hawakuelewi ha ha ha(natania)
Kiukweli mada yako inagusa idadi finyu sana ya wanaJF,kwa hiyo tegemea majibu machache sana kutoka kwa wanaohusika na majibu mengine (mazuri tu!!?!!!) Kutoka kwa tusiohusika.Ungeipeleka notice board ungekuwa umefanya vema kweli
hii ni JF sio facebook kijana!hoja km hizi peleka huko fb kuliko kuja kutujazia server hapa
Hawa ndo wanaofanya CBE wanadharauliwa,afu si ndo ile ya Dar kiongozi wao alikomba pesa yote kwenye acc
Haya mambo mngeulizana huko kwenye groups za WhatsApp... Hivi watu wanafikiria mambo makubwa kuelekea Oct we unaleta habari zako za COBESO humu
unatumia hili jukwaa vibaya
Eti huyu nae ana ndoto za kuja kushindana kwenye soko la ajira la EAC!