Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,443
- 2,643
habar wakuu ni Jana tu chuo cha elimu ya biashara(CBE) campus ya Dodoma kilifanya uchaguz mkuu wa kumpata rais hatimaye ndug. Shughaib Abdi akashinda kinyang`anyiro hicho.sasa vita imehamia kwa uwazir mkuu na uspika,kama mwanacobeso unampendekez nani anayefaa kuwa wazir mkuu na uspika?