Nani anastahili na kwanini kuwa player of the year epl msimu wa 2018/2019

Nani anastahili na kwanini kuwa player of the year epl msimu wa 2018/2019

Anastahili Rahim Sterling, basi hata Mane pia Yuki kwenye kiwango bora sana. Aguero na Hazard wanaweza pia ingia ila pia hawastahili sana..
 
Wamemuweka hazard af aubemeyang hawajamuweka huku stats za team na individually auba yupo juu ya huyo mbilikimo, by the way mchezaj wangu bora wa msimu ni huyo mniga sadio mane

Inaonyesha unawachukia wachezaji weupe mkuu.
 
Back
Top Bottom