Nani anastahili tuzo ya Nobel katika marais 6 tuliowahi kuwa nao Tanzania?

Kwangu Mimi ni hayati Baba was taifa.
Kwann?
Ni kipengele kimoja tuu cha kutuunhanisha kua kitu kimoja mbali ya utofauti was makabila yetu na dini.

Yeye ndiye aliyejenga msingi was umoja na mshakiamano wetu ambao viongozi was sasa wanatumia nguvu kuubwa kuvibomoa
 
Hapa umepotosha na wewe siyo mtu makini. JK alikwenda kama Rais wa Tanzania tu ku deliver ultimatum ya USA na siyo busara zake ndizo zilimaliza ule mgogoro.

Hata wewe mwenyewe Missile of the Nation Au Paul Makonda mungekuwa ndiye Rais wa Tz wakati ule ungemaliza ule mgogoro tu.

Nampima JK uwezo wake kwa namna alivyoshindwa kumanage tofauti zake na Edward Lowassa, mpaka akaacha tukaangukia kwa yule SHETANI wa Chato
 
Pressure za Marekani kweli zilikuwepo, lakini siyo pressure ya Marekani pekee inayosolve migogoro mfano mmojawapo ni kuwa pressure ya Marekani ilifeli huko Somalia.

Kuna mambo ambayo JK aliyaleta kwenye mazungumzo, kwa mfano, aina ya serikali ya pamoja ambayo Wakenya wanaweza kuunda kama pande mbili hasimu wakizika tofauti zao.

cheki hii paper.
 

Attachments

Mkapa alistahili(RIP)
Hapana, huyu ndiye muasisi wa kuuza mali zetu zetu na madini kwa mikataba ya kifisadi ambayo ilipelekea JPM kuanza mchakato wa kuibatilisha na kubatilisha mikataba ya kifisadi iliyoingiwa enzi za Mkapa!
 
Wapende wasipende historia itamkumbuka Magufuli kwa jinsj alivyoiokoa Tanzania na mataifa mengine yaliyoiga mbinu na falsafa yake kwa namna ya kupambana na corona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…