Nani anastahili tuzo ya Nobel katika marais 6 tuliowahi kuwa nao Tanzania?

Napenda sana lile jarida la TPDF.

Kwa ufahamu wangu wa kupitia machapisho mbalimbali ni kwamba Tz ni 2nd katika Afrika na 25th duniani, hizi ni rankings za Jumuiya za Kimataifa za miaka 5 iliyopita.

Lakini uimara wa vikosi hauko kwenye kumiliki zana wala idadi ya maafisa bali ni maarifa ya kutumia zana na maarifa ya medani.
 
Maarifa ya atakayetoa matusi ndio hayo matusi.....
 
Mawazo ya Nyerere uliyokwoti, hayamo hayamo katika zile category sita za nobel: yaani Chemistry, Physics, Medicine, Literaturre, Economic Sciences na Peace. Kwa dunia ya leo Nyerere anaweza kushinda kwenye Peace lakini hana sifa kwa vile ni mfu.
 
Nyerere alistahili lakini kwa sasa labda JK hakuna mwingine,Samia atakuwa na nafasi kubwa kupata tuzo ya Mo Ibrahim.
 
Unawaonea marais waliomfuata Nyerere kuwalinganisha nwa mwalimu. Mwalimu kazi na heshima yake ni very far reaching. Ni zaidi ya waziri mkuu wa kwanza, rais wa Tanganyika na rais wa Muungano.

Katika Marais wetu watano my favorite ni Président Ben Mkapa. He is the greatest of them all without Norbel. Hata ikitokea akafufuka na kugombea, ana kura yangu na kampeni nampigia!
 
Tuzo ya Nobel kwa Tz anapaswa kupewa Julius Kambarage Nyerere kwa sababu
1. Mwaminifu ambaye hakujitajirisha kwa pesa za masikini wavujajasho
2. Aliimarisha uchumi kwa kujenga viwanda vingi na kuongeza ajira
3. Hakuwa na upendeleo kwa familia yake, Kabila lake, Ukanda wake wala marafiki zake
4Alizikomboa nchi nyingi za Afrika zilizokuwa chini ya ukoloni.
5. Alituwezesha kuwa na dira ya maendeleo ya jamii kuwa ni ujamaa na kujitegemea. Leo haijulikani kama ni wajamaa au mabepari
6.Alikuwa na huruma kwa watanzania wote

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania hakuna kiongozi anayefaa kutunukiwa tuzo ya Nobel kwani wana mengi ya kusontewa kidole kuliko kuenziwa.

Nyerere ndiye aliyeweka msingi mbovu ambao ndio umesababisha hii nchi kuwa masikini hadi leo kwa kuleta mfumo mbovu wa ujamaa akiifanya Tanzania kuwa maabara ya kujaribishia itikadi za kigeni.

Alifuta mfumo wa vyama vingi na kuleta mfumo wa udikteta wa chama kimoja na kuweka sheria ya kuweka watu kizuizini bila ya kuwafikisha mahakamani. Akatuingiza kwenye vita vya kijinga na Uganda kwa ajili ya rafiki yake Obote.

Nimechoka kwa sasa, nitawachambua hao wengine baadaye.
 
Nadhani hakuna wakieleza kutupatia dira nyingine, kwanza kuna kufeli kwingi kwa dira hii kwa sababu karibu kila aliekuwa kwenye awamu alienda kivyake , na nadhani wanatamani hata hio 2025 isifike, na kwa vile hakuna wa kuwawajibisha kwa kuto kufikia malengo basi ndio hivyo itakua imetoka.

Pamoja na nia njema juu ya taifa hili aliyo nayo kiongozi wetu sidhani kama hata wapo tayari kuundwa dira mpya, sababu zipo nyingi.
kwanza kutengeneza pale palipo haribiwa, pakipona 2025 hoi hapa.

Pili hata ukiwasikiliza mazungumzo yao ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2025, wakati muda huu ndio ulikua wa kufanya tathmini wapi walipofikia kuekelea 2025 hitimisho la dira waliokua wakitembea nayo kwa miaka 25.

Tatu wanapambana wenyewe kwa wenyewe dhidi ya mifumo na kupambana na wengine ambao wanaona wanaenda kinyume nao, hili nalo linawachelesha sana kuja kushtuka jioni hii hapa na jua limekwisha zama.

Watu kama mwalimu nyerere, watu kama ben mkapa tunapewa mara chache mno katika jamii zetu .

Wakaliwe nuru ya milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mh. benjamini willium mkapa
 
Bwana Douglas tutarajie mapambio na hongera nyingi sana kutoka kwa politicians kwa hili hapa...kama yuko nje watajipanga airport kumpokea (unafik na ubinafsi) hata kama hawakumjua wala kusoma kazi zake kabla....I said we should not focus on a political arena katika Nobel Price....

Viva Tanzania Hongera sana kwake.

Katuheshimisha kuliko.



Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…