Nani anastahili Tuzo za Mhamasishaji Bora Ligi Kuu?

Nani anastahili Tuzo za Mhamasishaji Bora Ligi Kuu?

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
TFF wameandaa tuzo na ambao wanagombea tuzo ya mhamasishaji bora wapo watatu.

1. Masau Bwire
2 .Haji Manara
3. Bongozozo

Mnaona nani anastahili hapo?
 
Zozo wa kimataifa ligi ya ndani hana habari nayo yule ndio mzalendo wakwali wa hili taifa hayumbishwi na wenge la usimba na utopolo
 
Tff na bodi ya ligi wanajichanganya sana, haiwezekani timu inayosemekana ndio iliingiza washabiki wengi mhamasishajiwa wao akosekane kwenye 3 bora, inavyoonekana tuzo wameshapanga wampe nani tangu zamani.
Tff na bodi ni kichefu chefu kwakweli, wengi wao ni watu wa maslahi binafsi sana.
 
Back
Top Bottom