Master Arcade
JF-Expert Member
- Apr 21, 2021
- 404
- 658
Labda waneona kuingia kwa mashabiki wa yanga sana uwanjani hakutokani na hamasa za Nugaz Bali ni uzalendo wa wananchi wenyeweTff na bodi ya ligi wanajichanganya sana, haiwezekani timu inayosemekana ndio iliingiza washabiki wengi mhamasishajiwa wao akosekane kwenye 3 bora, inavyoonekana tuzo wameshapanga wampe nani tangu zamani.
Tff na bodi ni kichefu chefu kwakweli, wengi wao ni watu wa maslahi binafsi sana.