Lipuli inashiriki ligi kuu???Ni shabiki ndaki ndaki wa Lipuli mkuu
Ok hata kama nishabiki basi bado ajafikia sifa ya kuwekwa ktk top 3 na ukawaacha wakina nugaz na wengineo..Ni shabiki ndaki ndaki wa Lipuli mkuu
Mkuu unavusha magoli tuu ila fresh bongo zozo hanaga baya na mtuBila shaka wameangalia na hamasa ya Taifa Stars
Hapa Nugaz alipaswa kuwepo!TFF wameandaa tuzo na ambao wanagombea tuzo ya mhamasishaji bora wapo watatu.
1. Masau Bwire
2 .Haji Manara
3. Bongozozo
Mnaona nani anastahili hapo?
Mara 100 ya kifaru ila sio bongo zozoOk hata kama nishabiki basi bado ajafikia sifa ya kuwekwa ktk top 3 na ukawaacha wakina nugaz na wengineo..