Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Naona utahitaji nguvu ya ziada kum convice huyo kukubali MitalaLol! Nimeingia choo cha kike, nikifanya masihara itakula kwangu. Lakini itikadi yangu inaniruhusu kuwa na wake zaidi ya mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona utahitaji nguvu ya ziada kum convice huyo kukubali MitalaLol! Nimeingia choo cha kike, nikifanya masihara itakula kwangu. Lakini itikadi yangu inaniruhusu kuwa na wake zaidi ya mmoja.
mmh sometimes kicheni pati zinasaidia hapa siendelei tena kimey
Lol! Nimeingia choo cha kike, nikifanya masihara itakula kwangu. Lakini itikadi yangu inaniruhusu kuwa na wake zaidi ya mmoja.
Naona utahitaji nguvu ya ziada kum convice huyo kukubali Mitala
Hizi kitchen party ili zilete matunda mazuri mnapaswa kutukaribisha wazoefu tuje tutoe mada. Tatizo anayewafunda yeye mwenyewe yalishamshinda, unategemea nini? Poleni.
natafuta jibu la kukupa nikumbushe
Hizi kitchen party ili zilete matunda mazuri mnapaswa kutukaribisha wazoefu tuje tutoe mada. Tatizo anayewafunda yeye mwenyewe yalishamshinda, unategemea nini? Poleni.
Kwa hiyo una uzoefu pia kwenye mambo ya Kitchen party? Mmhh jamani Chrispin haishi vituko,kwa hiyo tuanze kukutafutia mialiko ya kitchen party?
mmh sometimes kicheni pati zinasaidia hapa siendelei tena kimey
Yeah! Unajua life ni kujifunza. Mnapaswa muelewe kina baba tunapenda nini. Sisi ndio tunaojua tunachokipenda. Sasa nyie mnadanganywa na watu ambao asilimia kubwa maisha ya unyumba yamewashinda, kwa sababu hawakujua tunachokipenda.
Ndio Msindima, nitafutieni mialiko ya kitchen party. Ntawapeni mafunzo kwa nadharia na kwa vitendo.
nicheke mie niongeze siku za kuishi,kwa hiyo unatoa mafunzo ya nadharia na vitendo,kaaazi kweli kweli,nitakutafutia mialiko but before that itabidi unialike sehemu ambazo huwa unaenda kutoa mafunzo yako ili nikikutafutia mialiko nieleze na sifa zako pia.
Kuna ukweli katika hilo dada!!
Wangu alikosa kitchen party,na tuko miaka mitatu ya ndoa,naona kuna mambo hataki kubadilika na namuacha nyuma kidogo....
Mfano...tunachangia harusi,tunapewa kadi,siku ya kwenda anatia mgomo....inabidi niende mwenyewe....hapo???
Na vya kwenda kupata ka-tusker pale grocery ya karibu hiyo company ndo hawezi kunipa kabisa....
Swala la mawazi,nalo nina shaka,maana kuna mavazi ya kisasa namnunulia tena kwa bei ghali,lakini anayatosa kiaina
Bado naendelea kumbadilisha laikini.....nahisi tunakoelekea sio kuzuri sana..
Natamani apate kitchen party hata za watu wengine tuu..

wee chrispin weweeeeeeeeee una mambo weweHapo wa kubadilika ni mama. Lazima aende na wakati bana. Kama hawezi swahiba tafuta anayeendana na hali halisi ujivinjari naye. Asikuletee za kuleta.
Kama hawezi swahiba tafuta anayeendana na hali halisi ujivinjari naye. Asikuletee za kuleta.
wee chrispin weweeeeeeeeee una mambo wewe
Haya wakuu upande mwingine wa shilingi huu....kama ni kweli leteni maoni!Mimi ndimi mke anayelalamikiwa,
Nimelazimika kutoa maoni yangu kwa PI, baada ya kuniambia kusoma comments za watu kuhusu maisha yetu.
Kwanza kuna mengi ambayo hakusema hapa lakini ametoa kipande tu cha maongezi ya juzi siku mbili na si tano kama anavyosema.
Ni kweli tulikutana wakati nikiwa na miaka 22 wakati huo aliniona niko katika wakati akanioa kwa kunipa sifa kem kem jinsi nilivyo wa kisasa na mrembo. Tumeishi miaka 11 na sijui hizo 13 anahesabu za uchumba pia au vipi. Nimezaa watoto wazuri na kila mmoja ana sifa yake nzuri. Tatizo hili la kubadilika nadhani Mme wangu haelewi mabadiliko. Kwa nini mabadiliko yaonekane kuwa kuvaa suruali (ambayo huwa navaa anyway) ionekane kuwa ni mabadiliko ya maendeleo? Nani kawadanganya? kama amewaona wanaovaa suruali huko anawataka aseme na asidanganye umma kuwa ni mambo ya kisasa. Mbona hata huyo Michelle ambaye anamsema anavaa sketi? sijawahi kuona ubaya huo. Kama swala ni la elimu. Alinioa nikiwa na elimu ya kidato cha sita kipindi kile tena PCB! Yeye alikuwa na degree moja. tatizo, alipoondoka kwenda US alikaa huko miaka 3 aliporudi ndo akaanza 1) mimi mnene nipungue 2) Nitembee kama so and so. 3) Nipende show fulani fulani TV, zote nimejaribu kwa kuendana na anayotaka lakini hayo hasemi. Tatizo ni hili la kubadili mwendo, nasema hapo no way.
Elimu nimejiendeleza nina diploma nzuri tu na kazi ninayo ya kuweza kubadili mwelekeo wowote. Lugha ipo kisawasawa anachotaka aseme ni mabadiliko gani siyo kula pweza hapa.
Yeye sasa ni mtu mzima asitake namimi niwe na PhD ndo aone nimebadilika. Yeye ni mhadhiri na PhD ni lazima kwake mie kazi yangu haiitaji PhD. Mabadiliko hayo yana malengo mengine na siyo kama anavyo sema. Yeye analazimika kuandaa publications ili kazi isimame anataka na mie niandike papers! NO WAY.
Mume wangu nakupenda tu hivyo ulivyo. Nitakusaidia ubadilike.
Note: I was not an idler that's why I am not a begger!
IP
Haya wakuu upande mwingine wa shilingi huu....kama ni kweli leteni maoni!